Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,483
- 11,691
Sasa hivi mmesogea wapi?Kumbe huyu ndio alikua anatuchelewesha.
Sasa hivi mmesogea wapi?Kumbe huyu ndio alikua anatuchelewesha.
Bhaaaaaasi kuna nini tena!!!!!View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Amezeeka, mikikimiki ya ulinzi hawezi, kabakia kutoa information tu.Bado kitambo mzee wa anga ataonekana kwenye kikosi cha ulinzi wa rais na hapo ndipo CHADEMA watalia na kusaga meno.
Wamenunua duka moja, au wameshona kwa fundi mmoja.View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Si ajabu hata yale marisasi ya Lissu akawa alihusika kwa namna moja au nyingine kama ambavyo huwa inasemwa semwa. Ndo maana pengine hata personal secretary wake Ben Saanane alipopotea jamaa hakujali kabisa! Siasa ni mchezo wa hatari sana!Nakumbuka hapa jf ...nilipokuwa nawaambia wapumbavu wa chadema kuwa mbowe ni muhuni na muhalifu ...na kuwaambia kuwa kifo cha ben saa8 ni muhusika no 1 na niliwaambia hapa kuwa mbowe hataki kusikia hata jina la ben saa 8 walinitukana sana hapa ...sasa nimesibitisha uwezo wangu wa kuona na kupambanua ...kwa mauaji yaliyo tokea oct 29 ni upumbavu mkuu kabisa kwa mbowe kukubali kuonekana na ccm...niliwaambia kuwa mbowe ana akili finyu sana.
Acha kusingizia watu, Mbowe hana uhuni unaosema. Kama amehusika na mauaji unayosema si akamatwe? Kwa maana nyingine unatuambia vyombo vyetu vya kiulinzi havina uwezo wa kujua nani amemuua nani? Mbowe anaweza kuwa na madhaifu yake lakini aliiongoza chadema nyakati zake kwa uwezo wake. Kama kwa sasa ameamua kuwa upande wa cccm tumwache pengine atajirudi. Lakini Mh. Mbowe alijitoa kwa kiasi chake enzi zake na wenyewe vijana hatukumpa support inayostahili akamilishe kazi. Sasa tuwasapoti viongozi wapya wakamilishe kazi waliyopokea kwa Mbowe.Nakumbuka hapa jf ...nilipokuwa nawaambia wapumbavu wa chadema kuwa mbowe ni muhuni na muhalifu ...na kuwaambia kuwa kifo cha ben saa8 ni muhusika no 1 na niliwaambia hapa kuwa mbowe hataki kusikia hata jina la ben saa 8 walinitukana sana hapa ...sasa nimesibitisha uwezo wangu wa kuona na kupambanua ...kwa mauaji yaliyo tokea oct 29 ni upumbavu mkuu kabisa kwa mbowe kukubali kuonekana na ccm...niliwaambia kuwa mbowe ana akili finyu sana.
Tumia akili wacha kutumia kijambio kufikiri kama saa mia ..atakamatwa vipi wakati aliohusika nao ndiyo wapo madarakani kwa sasa ..lengo lao lilikuwa kumchafua JPMAcha kusingizia watu, Mbowe hana uhuni unaosema. Kama amehusika na mauaji unayosema si akamatwe? Kwa maana nyingine unatuambia vyombo vyetu vya kiulinzi havina uwezo wa kujua nani amemuua nani? Mbowe anaweza kuwa na madhaifu yake lakini aliiongoza chadema nyakati zake kwa uwezo wake. Kama kwa sasa ameamua kuwa upande wa cccm tumwache pengine atajirudi. Lakini Mh. Mbowe alijitoa kwa kiasi chake enzi zake na wenyewe vijana hatukumpa support inayostahili akamilishe kazi. Sasa tuwasapoti viongozi wapya wakamilishe kazi waliyopokea kwa Mbowe.
Mengi hajawahi kuacha biashara. Alikuwa na anaendelea kuishi sera za chama chake cha Chadema. Chadema ni chama cha kibepari na hivyo kinahimiza wananchi wafanye biashara na wawekewe mazingira bora ya kufanya biashara. Kwa maneno mengine, kuilinda na kuikuza sekta binafsi ni kipaumbele cha Chadema.Amestaafu Siasa,
Karudi Biasharani,,,By the way Mangi huangalia namba.
Kwa hiyo unataka kusema nchi yetu ni banana Republic ambapo utumiaji wa sheria unafuata nani yupo madarakani? Kama ni hivyo na sisi wananchi tumenyamaza ni aibu kubwa. Nyie ndio mnatufanya hata tukiwa nchi za nje tuogope kujitambulisha kama watanzania.Tumia akili wacha kutumia kijambio kufikiri kama saa mia ..atakamatwa vipi wakati aliohusika nao ndiyo wapo madarakani kwa sasa ..lengo lao lilikuwa kumchafua JPM
We mpumbavu kwanza upambane na huo udumavu wa lishe wa huko kwenu Njombe, we umedumaa akili! Unajua kwanini anaitwa Freeman? Huyo babake Aikaeli Mbowe ndiyo waliomchangia baba wa Taifa kwenda Newyork kudai uhuru wa nchi yetu, huyo ni mzalendo wa kweli alistahili kuwa waziri mkuu ila kuna kosa alifanya. Na inawezekana ni TISS, hao wana viapo vya ukweli! Na atarudi kuwa mtu mkubwa!