DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Mind setter wa akina Yericko Nyerere the GREAT BETRAYOR of our lifetimeView attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Daaa rest in peace Deusdedith Soka.View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
HahahhaaaMbowe amegoma kulamba asali kwa kificho
Umeonae? Waliovalia suti toka utotoni wala hawafichiki!Asante sana Mbowe kwa kutuwakilisha kwenye Uzinduzi wa Bwawa la Nyerere.Suti imekupendeza sana.