Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!
I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.
Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.