. Inaitwaje hyo mkuuKuna dawa ya kesi unapewa unapaka makalioni...ukienda mahakamani na mashahidi wakija na kupewa muda wa kutoa maelezo... kabla hajaanza kuongea unabana makalio...wee ataanza kuongea pumba na issue tofauti na kesi,,haya akimaliza unalegeza makalio...hakimu anakupa nafasi ya kuuliza swali kwa shahidi..Basi unauliza swali ..kabla ya mtuhumiwa kujibu unakua ushabana makalio...Basi anaongea ujinga balaa. .mwisho wa siku kesi inaisha unakutwa huna hatia
. ..una cheo kikubwa jf ..hatutak tukupoteze😀😀😀Siwezi aiseeee pesa ngumu Sana kwa Sasa hapo Bora aninyonge
🤣🤣🤣🤣🤣Mtaendelea kunikumbuka nilikufa kishujaa. ..una cheo kikubwa jf ..hatutak tukupoteze😀😀😀
hapo hautakufa kishujaa bna ....coz hujapata madai yako😀😀😀🤣🤣🤣🤣🤣Mtaendelea kunikumbuka nilikufa kishujaa
NASEMAJEEEEE....asinitetemeshe nitamdai mpaka mwishohapo hautakufa kishujaa bna ....coz hujapata madai yako😀😀😀
Mi siijui jina...waganga wanaijua. Inaitwaje hyo mkuu
Dadadeki bosi alikuwa spana za kiziguaKuna bosi wetu mhindi alikua ana mtindo wa kuturudisha kwa gari hadi Victoria tulikua tunapita Kkoo almost daily.
Kuna siku gari ikapata pancha tukiwa hapo Kkoo. Tukasogeza gari pembeni kwenye uwanja wa nyumba ambayo wamiliki ni waarabu au wazenji.
Tukatoka kwenda kutafuta mtu wa pancha. Tumefika mbele bosi akasema tuwahi ofisini turudi baadaye, baadaye akasema kesho. Kesho akasema kesho.
Ikakata wiki.
Mkewe akatuhimiza tukamuonyeshe nyumba tukafunga safari, tumefika lile eneo mke akasema ngoja nikachukue vocha dukani, tulivyofika dukani akanunua soda tumekunywa tulivyomaliza akasema tuwahi nyumbani tutarudi kesho.
Mpaka naacha pale kazi ilikua miezi miwili lile gari halikufuatwa.
Miaka minne mbele work mate wangu ananiambia lile gari halikufuatwa. Ila mkipita Kkoo bosi atasema halafu pale niliacha gari langu, kesho nalifuata. Na hafuati.
Kuna dawa ya kesi unapewa unapaka makalioni...ukienda mahakamani na mashahidi wakija na kupewa muda wa kutoa maelezo... kabla hajaanza kuongea unabana makalio...wee ataanza kuongea pumba na issue tofauti na kesi,,haya akimaliza unalegeza makalio...hakimu anakupa nafasi ya kuuliza swali kwa shahidi..Basi unauliza swali ..kabla ya mtuhumiwa kujibu unakua ushabana makalio...Basi anaongea ujinga balaa. .mwisho wa siku kesi inaisha unakutwa huna hatia
Nikupe dawa ya kudhibiti hali hiyo?.Wala haina gharama.Ni kumwini Mungu,kumtegemea yeye maana yake Usali sana kila wakati,Ondoa uoga,acha kuogopa vitu ambavyo havina nguvu,vipo sawa lkn havina nguvu yoyote,usiruhusu akili yako iogope uchawi.
Tafuta mchawi yeyote unayemjua wewe mwambie aniroge.Akifanikiwa nitakulipa.Bro acha ubishi na ujuaji la sivyo utakuja kuomba Msaada humu uchawi upo ulikuepo na utakuepo
Tuma namba na sehemu ulipo nimsakeTafuta mchawi yeyote unayemjua wewe mwambie aniroge.Akifanikiwa nitakulipa.
Tafuta mchawi yeyote unayemjua wewe mwambie aniroge.Akifanikiwa nitakulipa.
Mchawi wa kweli hahitaji kupewa sijui namba ya simu wala kujua nilipo,ukiona hivyo ujue ndo wale wale.Uchawi ni akili zako tu.Tuma namba na sehemu ulipo nimsake
Ni kweli ila sitasema details maana mtashangaa wote. Jamaa kesi yake aliponea Tanga. Aisee ni kiboko. Kuna siku watu wa DPP hawakutokea mahakamani kabisa. Kwenye ushahidi cross examination hawakuweza. Na aliyejiweka mbelembele sitaki kusema kilichotokea. Dunia nzito hii.Mkuu Mimi nimeshuhudia na nina uhakika na hii kitu...basi ngja nigeneralize kwa kusema uchawi wa kizigua una uwezo wa kufuta form zote za ushahidi ikiwemo na hizo documents za upelelezi tena ikiwezekana kumsahaulisha kabisa mpelelezi wa kesi yako
Ahsante mkuu,nitajaribu kufanya hivoNikupe dawa ya kudhibiti hali hiyo?.Wala haina gharama.Ni kumwini Mungu,kumtegemea yeye maana yake Usali sana kila wakati,Ondoa uoga,acha kuogopa vitu ambavyo havina nguvu,vipo sawa lkn havina nguvu yoyote,usiruhusu akili yako iogope uchawi.
Nina nyumba yangu fulani Mbagala kwa Mbiku nilimpangisha mama mmoja sijawahi kuonana naye toka 2015,alikuwa analipa kwa kupitia njia ya simu ila mwaka juzi akanambia ameataafu,toka alipoingia sijawahi fika na toka alipostaafu hajalipa hata mia miezi kumi na sita na sijawahi enda.Inawezekana amanipiga muundo mbinu?Kuna jamaa alikuwa na biashara ya pamoja na rafikiye. Watu wa familia yake walikuwa wanajua hili. Siku jamaa alipokufa, ndugu mmoja akajaribu kuwashauri wenzake kuwa marehemu ana biashara na rafikiye. Hakika hakuna aliyekumbuka hadi leo rafiki wa marehemu alikuwa nani.
Sijasimuliwa, nilihusika kama mwanafamilia na tumepoteza mazima.
DPP aweza tia Nolle au akawithdrawKesi ya mauaji hustakiwi na ndugu wa marehemu unashtakiwa na jamuhuri mzee ustegemee hiyo dawa kufanya kaz labda umwage pesa huko mahakamani