Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Share link tu share na vijana. Nimejaribu kutafuta kwa kwenda KCB website, ila nikijaribu ku click application form wanasema imeshafungwa
Imepita mudaShare link tu share na vijana. Nimejaribu kutafuta kwa kwenda KCB website, ila nikijaribu ku click application form wanasema imeshafungwa
Usipotoshe watu ukiwa huna taarifa ya uhakika juu ya jamboImepita muda
Share link tu share na vijana. Nimejaribu kutafuta kwa kwenda KCB website, ila nikijaribu ku click application form wanasema imeshafungwa
Benki ya KCB imetoa fursa ya mafunzo kwa vitendo na ujasiriamali kwa kushirikiana na vyuo vya kati (VETA na SIDO)
Course za miezi mitatu zitakazofundishwa ni
View attachment 2688137
Tembelea website ya KCB kujisajili ONLINE na kusoma vigezo na masharti
Mwisho ni tarehe 26 July.
Mkuu thibitisha kama ishapita usikoseshe watu FURSA YA ELIMU.Imepita muda
Sijui anataka yeye na familia yake ndo wajipakulie minyamaMkuu thibitisha kama ishapita usikoseshe watu FURSA YA ELIMU.
KCB wanasema DL ni 26 july, 2023
Muda wa kuanza mafunzo watatoa taarifa.
View attachment 2688786
Selfishness imewajaa sana watanzania.Sijui anataka yeye na familia yake ndo wajipakulie minyama
Ngoja nijaribu hapaSelfishness imewajaa sana watanzania.
litazibia wengine tu makusudi
thibitisha hapo ulipoona mwanza pekeakeJamani ni mikoa ipi ?? Maana hapo juu nimeona kama ni mwanza pekee yake je , sisis watu wa dodoma na kwingineko tunaweza kuomba pia ???
Mkuu hapo kwenye tangazo juu kabisa wamendika chuo cha mafunzo - mwanza , ndyo imepelekea niombe ufafanuzithibitisha hapo ulipoona mwanza pekeake
Umefungua link ya kujisajili ukakuta ni mwanza only?Mkuu hapo kwenye tangazo juu kabisa wamendika chuo cha mafunzo - mwanza , ndyo imepelekea niombe ufafanuziView attachment 2692874nuzi
NdioNaomba kuuliza mfano O-level haukusoma physics na chemistry ukiomba mfano hio fursa ya kujifunza fundi magari je unaweza kupewa nafasi?
Na je ukichaguliwa kuitwa utafahamu vipi? Maana kwenye website yao sijaona kitu au watatumia namba za simu?Ndio