Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

We chizi piga 20 usd per hour x 5 x 7 days x 4 kisha toa kodi za serikali yako halafu nambie nani anatengeneza huo mshahara kwenye ukoo wako. Ukimaliza kalale coz sitoendelea kujibu pumba zako hapa
20$ ni minimum wage boss (i assume uko US kwa sababu you quoted your pay in $$), you are not serious
 
Umeeleweka, unatumia React lakini wanaotumia libraries ni soft/cheap developer, nani mpuuzi?
 
Hujajibu hoja, ume stick kwenye hio part ya "kume memorize syntax" kama njia ya kukwepa hoja nyingine

Toa sababu zenye mashiko kwanini ku leverage tools kama ChatGPT kwa ajiri ya ku generate codes snippet, ku analyze codes, debugging etc kunakufanya uwe lazy au "cheap developers " kama unavyo hubiri hapa

Au twambie kwanini ku leverage power ya Open source libraries au Framework kunakufanya uwe "cheap developers "

Kuna sehemu umesema una ingiza "20$ per hour" kama React Developer, kwanini usitumie low level JavaScript ukaamua ku leverage nguvu ya React na Ecosystem yake?

Mbona unahubiri usichofanya?
Halafu usidhani wewe pekee ndio mwenye uwezo wa kuandika "raw codes" kama unavyohisi

Wenzako tumeanzia huko, na tukaona faida na drawbacks zake pia.
Nijibu hayo maswali hapo juu nakusubiri hapa, ukishindwa acha kutukana watu hapa,
Kuna watu wana contribution kubwa kwenye hii industry na hata siku moja huwezi sikia wakiwambia wenzao "vilaza" kama unavyomuita kila mtu humu

Tuonyeshe basi projects zako hata moja?
 
20$ ni minimum wage boss (i assume uko US kwa sababu you quoted your pay in $$), you are not serious
Hata akisema 500$ per hour, una prove vipi statement yake?
Naweza sema naingiza 1k dollars per month, uta prove vipi nasema ukweli?

Kama wahenga wa internet walivyosema "on the internet, nobody knows you're a dog 🐕"
 
Sawa, tunategemea madokta wawe wanaingia na vitabu kwenye upasuaji, au wanaingia na tablet zao, wanatoboa mtu then wanaangalia michoro kwenye hizo tab ndo wanaendelea na upasuaji.

Your comment is among the dumbest things I've seen in 2023 so far
Well sofar AI mpaka sasa inatumiwa na madaktari kwenye upasuaji mkubwa, maengeneer kwenye complex projects au kugundua faults kirahisi kwenye nchi zilizo endelea sana..
Siyo (tablet) bali wana tumia Argumented Reality glasses (AR glasses)
Hii CHATGP ikiwa improved na kuwa merged na AR glasses nadhani surgeon wa kawaida anaweza kufanya upasuaji mkubwa akiwa anajua basics.....
 
Tatiz
Tumewazoea humu, maneno meengi. You can also be a dumb IT professional.
 
Pia ni open source kumbuka unaweza itumia kutengeneza product yoyote bila wao kuhusika....

So wamefungua THE PANDORA BOX kwa jamii.
Inteligent yet Cheap, simple, easily accessible AI kwa programers kote duniani siyo kwa Tech company kubwa tu kama ilivyokuwa hapo nyuma.
 
Sawa, tunategemea madokta wawe wanaingia na vitabu kwenye upasuaji, au wanaingia na tablet zao, wanatoboa mtu then wanaangalia michoro kwenye hizo tab ndo wanaendelea na upasuaji.

Your comment is among the dumbest things I've seen in 2023 so far
Experience.

Kwa vitu complex daktari mwenyewe anaku-refer kwa specialists.

Na procedures za afya ya binadamu hazifanani hata kidogo. Surgical procedures haziwezi fanana.

Experience inamfanya ajue anafanya nini.
 
sishangai IT wa Bongo kuitwa wa mchongo, wazee wa ready-made plugins, template na module
shuka raw code hapo, hamna kitu
mnapenda mteremko
Dunia ya sasa developers wanashare code dunia nzima.

Mnaweza fanya kazi pamoja kwa kutumiana code na ikakamilika.

Na ukawapa wenzako wakague na kuweka inputs zao.

Sio watu tu hata makampuni.

Labda wewe mwenzetu unadhani kazi ni kutengeneza website pekee?
 
Sasa Microsoft wanataka kuingiza ChatGPT kwenye program zao.

Ikiingizwa kwenye MsWord ndo balaa litaanzia hapo.

Unai-comand ikuandikie report ya week nzima, unaenda kuchukua maji kwenye dispenser, ukirudi imekamilika.

Unaifanyia small edits kazi yako una submitt.

Dunia ndo inaenda huko.
 
Ewaa! Tena I wish waweke iwe voice activated commanding. Watu wasijisahaulishe kuwa tulianzia kwenye type writers zile za ku-punch na kusogeza karatasi manually, tukaja kwenye keyboard hizi physical, tukahamia kwenye touch screens, kwahiyo tukienda kwenye voice prompted Microsoft Word sio kesi, ndio kukua kwa teknolojia huko - tusiogope.
 
Dunia ya sasa developers wanashare code dunia nzima.

Mnaweza fanya kazi pamoja kwa kutumiana code na ikakamilika.

Na ukawapa wenzako wakague na kuweka inputs zao
TU kama project ni open source
 
Teknolojia inakuja na mazuri na mabaya yake.

Mtu achekeche akili ajue mazuri ni yapi a-leverage imuingizie kipato.
 
Hii kitu naona very clear inaenda kula ajira za watu in masses, watu kama walimu naamini watakuwa wa mwanzo kupoteza kazi zao , software engineers sioni wakipona pia, hii kitu soon itaandika full software yeyote from start to finish, naona kila kona hakuna kazi itakuwa salama, wengi itabidi tukalime viazi tuu na tuwe mama ntilie
 
Kuna mtu nilimwambya kuwa AI itakuja mzidi binadsmu uwezo akabisha, sasa yameanza kujiri.
 
Kuna mtu nilimwambya kuwa AI itakuja mzidi binadsmu uwezo akabisha, sasa yameanza kujiri.
Kuna very interesting and true story movie documentary ya hawa jamaa wa deepmind inaitwa AlphaGO, binadamu bingwa wa dunia na majivuno yake ambaye hajawahi kushindwa alicheza mechi na AI, kilichotokea angalia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…