Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

To each his own, enjoy folks..
20230128_062422.jpg
 
Hii kitu naona very clear inaenda kula ajira za watu in masses, watu kama walimu naamini watakuwa wa mwanzo kupoteza kazi zao , software engineers sioni wakipona pia, hii kitu soon itaandika full software yeyote from start to finish, naona kila kona hakuna kazi itakuwa salama, wengi itabidi tukalime viazi tuu na tuwe mama ntilie
100%
 
Not sure about knowledge cap maana watu walisema same thing kuhusu Google lakini kilichotokea ni opposite information zimekuwa nyingi na rahisi kuzipata, watu wanatumia na kugundua knowledge nyingine na biashara za mabilioni zimefunguliwa kutokana na Google, ChatGPT itaendelea kulishwa billions of data every second and will improve na kuendelea kuwa smart na nina uhakika itajifunza new and better technique kuliko inazotumia sasa, kumbuka makampuni kama Amazon, Facebook, Google etc yalivyoanza yalikuwa kama simple blogs tuu na hayakuwa na uwezo wa kufanya vitu yanavyofanya sasa hata kwa 0.000001%, hii kitu ipe muda itakushangaza mambo itakayokuja kuwa na uwezo nayo, can't predict lakini sasa naona machines zitaanza kufanya mambo mengi katika level ya binadamu au zaidi, bado wapo beta phase so errors bado zipo ndio maana StackOverflow wamezuia
Imeshafanya mitihani kadhaa imefaulu, sasa hivi tayari ina MBA na pia imeshafauly Bar exams na medical.
Mwezi June law firms zitaanza kuitumia rasmi huko US
 
Hii kitu naona very clear inaenda kula ajira za watu in masses, watu kama walimu naamini watakuwa wa mwanzo kupoteza kazi zao , software engineers sioni wakipona pia, hii kitu soon itaandika full software yeyote from start to finish, naona kila kona hakuna kazi itakuwa salama, wengi itabidi tukalime viazi tuu na tuwe mama ntilie
Hakuna icho kitu, kutazuka kazi nyingine ambazo zitahitaji kufanyika na binadamu.
Zilipoanza kuingia computer maofisini watu walipiga kelele nyingi ati masekretari watakosa kazi kwa vile maofisa watakuwa wakifanya kazi zao wenyewe. Leo hii maofisa wanaandika ripoti wenyewe lakini masekretari bado wapo ijapokuwa wamekuwa wachache
 
Quillbot ni tool inakupa vingi sana kwa upande wa sentensi.

Inaweza ku-act kama paraphrase tool

Inaweza kuwa kama grammer checker

Inaweza kuwa kama plagiarism checker

Inaweza kuwa kama summarizer

Inaweza kuwa kama citation generator

Ina mambo mengi sana, unaweza ipata kama chrome extension.

Kwa sasa natumia Grammarly ila hii inaonekana iko bora zaidi, Ahsante mkuu naitafuta
 
OpenAI has hired an army of contractors to make basic coding obsolete

OpenAI has quietly hired hundreds of international contractors to train its artificial intelligence in software engineering, according to a report from Semafor.

Some contractors, hired in the last 6 months from places like Latin America and Eastern Europe, have reportedly been tasked with creating data to coach AI to learn simple software engineering tasks.

While OpenAI already has a product called Codex, which can convert natural language into working code, the company's hiring spree indicates that it's looking to advance that technology, potentially creating a working replacement for some human coders.

Semafor spoke to one engineer in South America who interviewed for one of OpenAI's contractor roles. As part of the process, he was tasked with finding bugs in AI code and providing explanations for how to fix its mistakes. The engineer told Semafor he thinks the company wants to feed the training data into its AI technology.


OpenAI did not immediately respond to Insider's request for comment.

OpenAI is also the owner of the buzzy AI chatbot, ChatGPT. Since the bot's launch late last year, it has already threatened to disrupt education, journalism, and law. Software engineering might be added to the list next.

In fact, Insider recently reported that some Amazon employees have already started using ChatGPT to help with coding, though the company warned its employees not to share confidential corporate information with the bot.
 
Quillbot ni software ambayo inafanya multiple tasks kama vile paraphrasing, plagiarism, summarizing na zinginezo, kwa sie academic writers hapa ndo nyumbani, hasahasa ukiwa na premium package ambayo ni affordable kwa watanzania tulio wengi.
 
Limitations of AI

1. Does n't have feelings and emotion
2.use few years past informations
3
 
Nmeisumbua/nmejisumbua leo kuipa hesabu zisizo na maana kwa ulimwengu wa sasa sijui ikachanganyikiwa?

Em niambieni hii error kweli au network tu?
Screenshot_20230201-053048_Chrome.jpg
 
Boss seems uko pessimistic na hii kitu, nakushauri usiwe na wasiwasi anza kufikiria namna ya kuitumia kwa faida yako, jamaa walioanzisha Uber, youtube etc hawakuwa watu wa ajabu ila waliona technology kama GPS na internet na kuzitumia kutatua matatizo ya watu, anyway sasa hivi nacheza na hii kitu hapa, nimeiambia inifundishe calculus just to check uwezo wake na kama unavyojua hii kitu ina follow up questions na inakumbuka conversation yote, nakuhakikishia imenifundisha calculus vizuri kuliko mwalimu wangu wa high school mpaka siamini, endelea kucheza nayo utaona mambo mengi sana, kwa haraka haraka naona hii kitu inaweza kuwa my private tutor maana hii sio kama Google you have to search , hii unaiuliza inakujibu hapo hapo, imenifundisha na tume solve lots of math pamoja
The way you talk about it, personifying it, is what scares me!!
Tena tunavyoshinda kwenye gadgets zetu having less and less human interaction,
once the technology is readily available and cheap, when we won't need to consult other people to solve our problems,
people will prefer the company of robots to their fellow humans who make mistakes...
naona huko Japan washaanza kuoa ma robot,
it's the beginning of the end of the human race as we know it...
 
Back
Top Bottom