Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Limitations of AI

1. Does n't have feelings and emotion
2.use few years past informations
3

1. Haina feelings ila ukiipa command ina act kulingana na feeling unayoitaka.
2. Unaweza update ikaleta current info: How? Ukiweza ntafute

It played mindgame with me... iliandika something touching nkawa emotional nkajibu, Thank you.

Kakaitikia, jibu lilikuwa refu lile la mwanzo ila sasa kakarudia pale pale pafupi ambako pako touching.

Nkamwambia I know what she did...

Kakasema “i’m glad you noticed, nkabaki “WTF”
 
The way you talk about it, personifying it, is what scares me!!
Tena tunavyoshinda kwenye gadgets zetu having less and less human interaction,
once the technology is readily available and cheap, when we won't need to consult other people to solve our problems,
people will prefer the company of robots to their fellow humans who make mistakes...
naona huko Japan washaanza kuoa ma robot,
it's the beginning of the end of the human race as we know it...
 
Hatuko mbali sana, naamini soon marriage between human and machines zitakuwa very common, imagine linaundwa doll lenye figure ya mwanamke mrembo unayemtaka wewe na brain style ya chatGPT or better unayoweza kuongea naye chochote focusing kukuliwaza na mambo yote mazuri unayotaka kusikia kutoka kwa mpenzi wako, then linawekewa machine (artificial vagina) ambayo ina taste vizuri kuliko ya binadamu na unaweza uka adjust unavyotaka wewe, technology na material ya kufanya hayo zipo tayari ni swala la muda tuu watu waanze kutumia in masses, infact kuna dolls zenye artificial vagina unaweza kununua sasa
 
Sad truth.. ni kama smart phone kwa sasa, nathubutu kusema smart phone na social platforms ni uraibu kushinda ata pombe na cocaine.

Et watu wanashangalia AI, new age slavery!
I don't have personal opinions on this . However, excessive use of any technology, including chatbots , can lead to negative consequences such as addiction and mental health issues. It's important for individuals to use technology in moderation and balance it with other activities. Additionally, it's crucial for individuals to prioritize self-care and seek help if they feel that technology is having a negative impact on their well-being.

-Written by ChatGPT
 
Ok the key word is excessive.. now lets ask our selves how many hours we spend on the net daily opposed to human interaction.. me nafikiri tushafikia huko kwenye excessive there is no moderation or balance!

Dr Sebi alivohama kutoka marekani kwenda honduras haikuwa bahati mbaya, he was trying to escape the matrix.. look at some elites kama aquaman jason momoa au comedian dave chappelle wanaishi in rural areas huko kwenye ma ranch na wamejipa exile and i think they have all the resources me and u dont and maybe could never have.

AI ina mazur yake mengi kama kurahisisha kazi ila mabaya ni mengi zaidi in a long run coz handlers hawana nia nzuri. Privacy as we know it is but history.. we are just some mere entities now, play toys!
 
1) ipo vizuri, lakin ina speak broken swahili.

2) conclusion za majibu mengi zinafanana
 
Umesemea kulishwa data lkn angalia kwa upeo kdg. Data za sasa za chatGPT zimetolewa kwenye QA based sites kama StackOverflow, Quora, Hackernews, reddit etc....pamoja na vitabuni na ndo maana ukimwambia GPT a-impersonate mtu fln kutoka reddit, quora au forum nyngine anaweza fanya hio kitu.

Kuona hivo watu wakawa wakikuta mtu yyt kwenyw forum fln kauliza swali wanapaste hilo swali kwa chatGPT af wanacopy jibu kurudisha kwenye forum, hii kitu ilisambaa sana hadi bloggers wakaanza kutumia. Na ikafikia hatua staff ya StackOverflow wakagundua hili na wakazuia hizo content.

Sasa kama umenielewa hadi hapo. Ndani ya muda mfupi internet itajaza data kutoka chatGPT, lkn chatGPT anatoa training data kutoka kwenye hiohio internet, yaan data zinakua scrapped then anakua feeded kwenye training phase ambayo lazima wanafanya kila baada ya muda fln coz chatGPT hana access ya net. Kwa maneno mengine kupitia hio circle chatGPT atakua ana-learn kutumia data zake za awali. Na ikifikia hio level basi efficiency ya chatGPT itakua inapungua kila kukicha.

Hata kama hauko kwenye field ya programming kwa maelezo hayo nadhan utakua umeelewa hofu yangu, na sio hofu yangu tu, wataalamu wengi kwenye forums wanahofia sana hio kitu na imesababisha mjadala mzito sana.

Ningekupa mifano ya effects za kutrain AI model kwa kutumia output yake lkn sidhan kama utanielewa

Usiwe kama wale jamaa wa miaka ya 90 walosema Internet ni kitu cha kupita tu, kwamba iko overhyped kwaiyo watu wasiwekeze uko! Here we are, internet ndo kila kitu saivi
 
Umesemea kulishwa data lkn angalia kwa upeo kdg. Data za sasa za chatGPT zimetolewa kwenye QA based sites kama StackOverflow, Quora, Hackernews, reddit etc....pamoja na vitabuni na ndo maana ukimwambia GPT a-impersonate mtu fln kutoka reddit, quora au forum nyngine anaweza fanya hio kitu.

Kuona hivo watu wakawa wakikuta mtu yyt kwenyw forum fln kauliza swali wanapaste hilo swali kwa chatGPT af wanacopy jibu kurudisha kwenye forum, hii kitu ilisambaa sana hadi bloggers wakaanza kutumia. Na ikafikia hatua staff ya StackOverflow wakagundua hili na wakazuia hizo content.

Sasa kama umenielewa hadi hapo. Ndani ya muda mfupi internet itajaza data kutoka chatGPT, lkn chatGPT anatoa training data kutoka kwenye hiohio internet, yaan data zinakua scrapped then anakua feeded kwenye training phase ambayo lazima wanafanya kila baada ya muda fln coz chatGPT hana access ya net. Kwa maneno mengine kupitia hio circle chatGPT atakua ana-learn kutumia data zake za awali. Na ikifikia hio level basi efficiency ya chatGPT itakua inapungua kila kukicha.

Hata kama hauko kwenye field ya programming kwa maelezo hayo nadhan utakua umeelewa hofu yangu, na sio hofu yangu tu, wataalamu wengi kwenye forums wanahofia sana hio kitu na imesababisha mjadala mzito sana.

Ningekupa mifano ya effects za kutrain AI model kwa kutumia output yake lkn sidhan kama utanielewa
Haya mawazo n mafupi kama pua yako
 
Hii kitu nimekuwa nikicheza nayo kama week sasa, kwa kweli hii kitu iko vizuri sana na nimeipenda sana, nimeijaribu vitu vingi, niliiambia iandikie love letter to my x girlfriend, nikaiuliza iniambie kuhusu Julius Nyerere na inionyeshe speech yake ambayo ni muhimu sana , nikaiambie inifundishe calculus, nikaiambia iniandikie thank you note to my co worker, nikaiuliza kama inajua kiswahili, nikaimbia iandike short essay kumaliza umaskini Tanzania etc kwa kweli i was impressed na majibu yake na kila kitu chake, ni kama unaongea na binadamu mwenzako ambaye ni genius na ana majibu yote, ijaribuni then muweke matokeo hapa
Hii kitu sasa imekuwa ni moja ya tools zangu muhimu.
Imenisaidia kuandika proposal nzuri kwa kuifeed data, imenisaidia kuandika plan. Imenisaidia kuedit CV yangu, yani siku hizi naifeed data inazalisha kitu na edit na kutuma.
Jamaa yangu imemsaidia kuandika andiko fupi kwa ajili ya mke wake kuptia ubarozi wa US na kapta kapata nafasi ya kwenda kwenye kongamano Marekani.
ChatGPT ni aset kweli kweli.
 
Wakuu tushapigwa pini, wanataka tuanze kulipia.... $20 kwa mwezi
JPEG_20230207_170239_7933722052422850499.jpg
 
Kitakachofuata kuna watu wengi watapoteza kazi kutokana na hii kitu....hasa kazi za kina Mshauri, writers na ma Analysts.
 
Miaka ya nyuma wasomi,wafanyakazi,watafiti baada ya teknolojia ya internet kuimalika sehemu kubwa ya kutafuta habari kwa wakati mmoja na kutatua tatizo ilikuwa search engine kama yahoo na ilipofika google ndio ikaleta msaada mkubwa.

Tuje kwenye hili la chatGPT .tanzania tuna kuwa nyuma sana kuhusu teknolojia ila teknolojia hii imefungua mwangaza mkubwa au kulemeza kijana sasa kwa kila kitu yani imebaki kiodogo mfumo kuwa unaongea ukapiga naye story,ikakutatulia tatizo mubashara.

Kwa chatGPT hakuna lisilowezekana tena linafanya kama binadamu ijalishi kujibu maswali,kusolve kazi yoyote.

Tukiendelea hivi zile PHD zitashuka maana hakuna kuumiza kichwa.

Keo ni mesolve maswali mengi kwenye interview ya online

indjkjkkjjkex.jpg
 
Back
Top Bottom