Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Asante Mtoa Mada.
Nimepata Kitu Kipya Kizuri.
Nimepata Kitu Kipya Kizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sad truth.. ni kama smart phone kwa sasa, nathubutu kusema smart phone na social platforms ni uraibu kushinda ata pombe na cocaine.The Next Generation Won't Imagine
The Life Without Chat-GPT!
100%Hii kitu naona very clear inaenda kula ajira za watu in masses, watu kama walimu naamini watakuwa wa mwanzo kupoteza kazi zao , software engineers sioni wakipona pia, hii kitu soon itaandika full software yeyote from start to finish, naona kila kona hakuna kazi itakuwa salama, wengi itabidi tukalime viazi tuu na tuwe mama ntilie
Imeshafanya mitihani kadhaa imefaulu, sasa hivi tayari ina MBA na pia imeshafauly Bar exams na medical.Not sure about knowledge cap maana watu walisema same thing kuhusu Google lakini kilichotokea ni opposite information zimekuwa nyingi na rahisi kuzipata, watu wanatumia na kugundua knowledge nyingine na biashara za mabilioni zimefunguliwa kutokana na Google, ChatGPT itaendelea kulishwa billions of data every second and will improve na kuendelea kuwa smart na nina uhakika itajifunza new and better technique kuliko inazotumia sasa, kumbuka makampuni kama Amazon, Facebook, Google etc yalivyoanza yalikuwa kama simple blogs tuu na hayakuwa na uwezo wa kufanya vitu yanavyofanya sasa hata kwa 0.000001%, hii kitu ipe muda itakushangaza mambo itakayokuja kuwa na uwezo nayo, can't predict lakini sasa naona machines zitaanza kufanya mambo mengi katika level ya binadamu au zaidi, bado wapo beta phase so errors bado zipo ndio maana StackOverflow wamezuia
Hakuna icho kitu, kutazuka kazi nyingine ambazo zitahitaji kufanyika na binadamu.Hii kitu naona very clear inaenda kula ajira za watu in masses, watu kama walimu naamini watakuwa wa mwanzo kupoteza kazi zao , software engineers sioni wakipona pia, hii kitu soon itaandika full software yeyote from start to finish, naona kila kona hakuna kazi itakuwa salama, wengi itabidi tukalime viazi tuu na tuwe mama ntilie
Quillbot ni tool inakupa vingi sana kwa upande wa sentensi.
Inaweza ku-act kama paraphrase tool
Inaweza kuwa kama grammer checker
Inaweza kuwa kama plagiarism checker
Inaweza kuwa kama summarizer
Inaweza kuwa kama citation generator
Ina mambo mengi sana, unaweza ipata kama chrome extension.
😒Ningekupa mifano ya effects za kutrain AI model kwa kutumia output yake lkn sidhan kama utanielewa
The way you talk about it, personifying it, is what scares me!!Boss seems uko pessimistic na hii kitu, nakushauri usiwe na wasiwasi anza kufikiria namna ya kuitumia kwa faida yako, jamaa walioanzisha Uber, youtube etc hawakuwa watu wa ajabu ila waliona technology kama GPS na internet na kuzitumia kutatua matatizo ya watu, anyway sasa hivi nacheza na hii kitu hapa, nimeiambia inifundishe calculus just to check uwezo wake na kama unavyojua hii kitu ina follow up questions na inakumbuka conversation yote, nakuhakikishia imenifundisha calculus vizuri kuliko mwalimu wangu wa high school mpaka siamini, endelea kucheza nayo utaona mambo mengi sana, kwa haraka haraka naona hii kitu inaweza kuwa my private tutor maana hii sio kama Google you have to search , hii unaiuliza inakujibu hapo hapo, imenifundisha na tume solve lots of math pamoja