SatCitAnanda
JF-Expert Member
- Dec 11, 2022
- 643
- 1,099
Mwambie tu swali lolote alilo nalo amuulize ChatGPT 😄,Twende Pamoja.
Hatua ya kwanza | Nitaiambia chatGPT ifanye translation, ili maneno yote ya English.
View attachment 2480337
Hatua ya Pili:
View attachment 2480338
Daaaaaah kweli Akili bandia inakuja kwa kasi sana
Limitations of AI
1. Does n't have feelings and emotion
2.use few years past informations
3
The way you talk about it, personifying it, is what scares me!!
Tena tunavyoshinda kwenye gadgets zetu having less and less human interaction,
once the technology is readily available and cheap, when we won't need to consult other people to solve our problems,
people will prefer the company of robots to their fellow humans who make mistakes...
naona huko Japan washaanza kuoa ma robot,
it's the beginning of the end of the human race as we know it...
Hatuko mbali sana, naamini soon marriage between human and machines zitakuwa very common, imagine linaundwa doll lenye figure ya mwanamke mrembo unayemtaka wewe na brain style ya chatGPT or better unayoweza kuongea naye chochote focusing kukuliwaza na mambo yote mazuri unayotaka kusikia kutoka kwa mpenzi wako, then linawekewa machine (artificial vagina) ambayo ina taste vizuri kuliko ya binadamu na unaweza uka adjust unavyotaka wewe, technology na material ya kufanya hayo zipo tayari ni swala la muda tuu watu waanze kutumia in masses, infact kuna dolls zenye artificial vagina unaweza kununua sasa
I don't have personal opinions on this . However, excessive use of any technology, including chatbots , can lead to negative consequences such as addiction and mental health issues. It's important for individuals to use technology in moderation and balance it with other activities. Additionally, it's crucial for individuals to prioritize self-care and seek help if they feel that technology is having a negative impact on their well-being.Sad truth.. ni kama smart phone kwa sasa, nathubutu kusema smart phone na social platforms ni uraibu kushinda ata pombe na cocaine.
Et watu wanashangalia AI, new age slavery!
Ok the key word is excessive.. now lets ask our selves how many hours we spend on the net daily opposed to human interaction.. me nafikiri tushafikia huko kwenye excessive there is no moderation or balance!I don't have personal opinions on this . However, excessive use of any technology, including chatbots , can lead to negative consequences such as addiction and mental health issues. It's important for individuals to use technology in moderation and balance it with other activities. Additionally, it's crucial for individuals to prioritize self-care and seek help if they feel that technology is having a negative impact on their well-being.
-Written by ChatGPT
Umesemea kulishwa data lkn angalia kwa upeo kdg. Data za sasa za chatGPT zimetolewa kwenye QA based sites kama StackOverflow, Quora, Hackernews, reddit etc....pamoja na vitabuni na ndo maana ukimwambia GPT a-impersonate mtu fln kutoka reddit, quora au forum nyngine anaweza fanya hio kitu.
Kuona hivo watu wakawa wakikuta mtu yyt kwenyw forum fln kauliza swali wanapaste hilo swali kwa chatGPT af wanacopy jibu kurudisha kwenye forum, hii kitu ilisambaa sana hadi bloggers wakaanza kutumia. Na ikafikia hatua staff ya StackOverflow wakagundua hili na wakazuia hizo content.
Sasa kama umenielewa hadi hapo. Ndani ya muda mfupi internet itajaza data kutoka chatGPT, lkn chatGPT anatoa training data kutoka kwenye hiohio internet, yaan data zinakua scrapped then anakua feeded kwenye training phase ambayo lazima wanafanya kila baada ya muda fln coz chatGPT hana access ya net. Kwa maneno mengine kupitia hio circle chatGPT atakua ana-learn kutumia data zake za awali. Na ikifikia hio level basi efficiency ya chatGPT itakua inapungua kila kukicha.
Hata kama hauko kwenye field ya programming kwa maelezo hayo nadhan utakua umeelewa hofu yangu, na sio hofu yangu tu, wataalamu wengi kwenye forums wanahofia sana hio kitu na imesababisha mjadala mzito sana.
Ningekupa mifano ya effects za kutrain AI model kwa kutumia output yake lkn sidhan kama utanielewa
Haya mawazo n mafupi kama pua yakoUmesemea kulishwa data lkn angalia kwa upeo kdg. Data za sasa za chatGPT zimetolewa kwenye QA based sites kama StackOverflow, Quora, Hackernews, reddit etc....pamoja na vitabuni na ndo maana ukimwambia GPT a-impersonate mtu fln kutoka reddit, quora au forum nyngine anaweza fanya hio kitu.
Kuona hivo watu wakawa wakikuta mtu yyt kwenyw forum fln kauliza swali wanapaste hilo swali kwa chatGPT af wanacopy jibu kurudisha kwenye forum, hii kitu ilisambaa sana hadi bloggers wakaanza kutumia. Na ikafikia hatua staff ya StackOverflow wakagundua hili na wakazuia hizo content.
Sasa kama umenielewa hadi hapo. Ndani ya muda mfupi internet itajaza data kutoka chatGPT, lkn chatGPT anatoa training data kutoka kwenye hiohio internet, yaan data zinakua scrapped then anakua feeded kwenye training phase ambayo lazima wanafanya kila baada ya muda fln coz chatGPT hana access ya net. Kwa maneno mengine kupitia hio circle chatGPT atakua ana-learn kutumia data zake za awali. Na ikifikia hio level basi efficiency ya chatGPT itakua inapungua kila kukicha.
Hata kama hauko kwenye field ya programming kwa maelezo hayo nadhan utakua umeelewa hofu yangu, na sio hofu yangu tu, wataalamu wengi kwenye forums wanahofia sana hio kitu na imesababisha mjadala mzito sana.
Ningekupa mifano ya effects za kutrain AI model kwa kutumia output yake lkn sidhan kama utanielewa
Hii kitu sasa imekuwa ni moja ya tools zangu muhimu.Hii kitu nimekuwa nikicheza nayo kama week sasa, kwa kweli hii kitu iko vizuri sana na nimeipenda sana, nimeijaribu vitu vingi, niliiambia iandikie love letter to my x girlfriend, nikaiuliza iniambie kuhusu Julius Nyerere na inionyeshe speech yake ambayo ni muhimu sana , nikaiambie inifundishe calculus, nikaiambia iniandikie thank you note to my co worker, nikaiuliza kama inajua kiswahili, nikaimbia iandike short essay kumaliza umaskini Tanzania etc kwa kweli i was impressed na majibu yake na kila kitu chake, ni kama unaongea na binadamu mwenzako ambaye ni genius na ana majibu yote, ijaribuni then muweke matokeo hapa
Kama inakuingizia hela kwanini usilipie?Wakuu tushapigwa pini, wanataka tuanze kulipia.... $20 kwa mweziView attachment 2509477
Kama inakuingizia hela kwanini usilipie?
Microsoft wameachia mchana huu kitu more powerful than ChatGPT....fuatiliaSubscription nyingine inaongezeka aisee hizo bills
Issue ni wawe na revenue model ya kui sustain tu mana ile kitu inahitaji computing power ya kutosha na data center ya uhakika.The Next Generation Won't Imagine
The Life Without Chat-GPT!
Kulipia lazima ntalipia tu, kwangu mie hii tool ni mkombozi kwenye utafutaji wangu wa mkate wa kila siku..Kama inakuingizia hela kwanini usilipie?
Microsoft au Google, Google wanakuja na Bard ambayo itakuwa competitor wa ChatGPT, watairelease muda si mrefu,ngoja tuone maajabu yake nayo.Microsoft wameachia mchana huu kitu more powerful than ChatGPT....fuatilia