Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Kama unajua ni nini unakitaka kutoka chatgtp, utakipata
Lakini kama hujui nini unakitaka kutoka chatgtp, hupati kitu
If you put in pumba, you will get out pumba
 
Ni lazima utumie Egde browser?
 
Du kumbe kuna vitu vitamu hivi na hamsemi.... Aisee n hatari Sana....
JF idumu
 
Nilichogundua kwa ChatGPT ni kuwa unaweza kuiona haikupi majibu sahihi kutokana na jinsi ulivyo uliza swali lako.
Mfano kuna Project moja nilikuwa nafanya wakati huo Chatgpt ndo imeanza kuwa gunzo, Moja kwa moja nikaona ngoja niijaribu.
Nilianza kuiomba inisaidie kuandaa business plan na wakati huo nlikuwa sija feed data yoyote kuhusu hiyo project, Majibu ni kwamba ilishindwa. Nikaona isiwe shida nikaanza na kuandaa website kwa sababu nlikuwa najua nini nakifanya. ChatGPT ilinisaidia kwa 99% kwenye ile website, kuanzia content mpangilio na kila kitu. Baada ya kumaliza nikarudia tena swali lile la mwanzao kuniandikia Business Plan, Chakushangaza awamu hii ilinipa kile kitu nilicho kuwa nataka, iliniandikia Business plan nzuri na ya kuvutia kitu imeshindwa ni issue ya Financial projection kitu ambacho nilishafanya research hivyo data ninazo ni ku feed tu. Hivyo hivyo nilifanya kwa Company profile na Pitch Desk na nimepata majibu ya kushangaza na kuvutia.

Kwa maana hiyo ChatGPT inakuja kuwa msaada mkubwa kwa kurahisisha mambo na unachotakiwa kufanya ili kupata majibu mazuri jaribu kuelezea jambo lako vizuri kama nikitu kipya hakika utafurahi.
 
Google kama ameshapoteana.....microsoft wanazidi kuwaacha mbali, sasa hivi wamekuja na kitu kingine zaidi ya GPT inaitwa Copilot,hatari sana hiyo[emoji4]
 

Nilikuwa naandaa article ya weekend kakakosea, good thing huwa natumia GPT kuandaa template tu ila sio kila kitu, kwanza ni insult kuwaandikia watu newsletter kwa kutumia AI considering wanalipia
 
Google nao wameachia Bard, just got my turn today, naijaribu hapa, so far so good, tofauti yake kubwa na GPT anayetumia data prior to 2021, Bard anatumia real time data ...nitarudi kusema nilichoona
 
116+ Best AI Productivity Tools
Code:
https://www.futurepedia.io/ai-tools/productivity

=
"Futurepedia (Artificial Intelligence): The largest AI tools directory, updated daily."
 
Google nao wameachia Bard, just got my turn today, naijaribu hapa, so far so good, tofauti yake kubwa na GPT anayetumia data prior to 2021, Bard anatumia real time data ...nitarudi kusema nilichoona
Bard ni website au ni app ya kulipia 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…