Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Kama unajua ni nini unakitaka kutoka chatgtp, utakipata
Lakini kama hujui nini unakitaka kutoka chatgtp, hupati kitu
If you put in pumba, you will get out pumba
 
The quarter final draw for the UEFA Champions League 2022/23 will take place on Friday 17 March 2023 at 11:00 GMT⁴. It will be an open draw, meaning that any of the remaining eight teams can face each other⁵.

The eight teams that have qualified for the quarter finals are:

  • AC Milan (Italy)
  • Inter Milan (Italy)
  • Napoli (Italy)
  • Manchester City (England)
  • Chelsea (England)
  • Real Madrid (Spain)
  • Benfica (Portugal)
  • Bayern Munich (Germany)

Some possible match-ups include a Milan derby, an all-Premier League clash between Manchester City and Chelsea, or a rematch of last year's final between Chelsea and Bayern Munich.

Source: Conversation with Bing, 3/16/2023
==

Fanya hivi
1. Fungua EDGE browser
2. Login kwa kutumia account yako ya hotmail/outlook
3. Kisha fungua | Bing AI - Bing
=
Iwapo utafungua link kabla ya ku_login in utakutana na hii screen
View attachment 2553397

Click hapo| Join the waiting List

-
Na utaweza kutumia GPT-4
View attachment 2553399
Ni lazima utumie Egde browser?
 
Ni lazima utumie Egde browser?
Hapa nimejaribu kwa Chrome Browser
1679030207333.png

=
Hivyo kwa sasa hakuna namna, Tumia MS Edge browser
 
Du kumbe kuna vitu vitamu hivi na hamsemi.... Aisee n hatari Sana....
JF idumu
 
Nilichogundua kwa ChatGPT ni kuwa unaweza kuiona haikupi majibu sahihi kutokana na jinsi ulivyo uliza swali lako.
Mfano kuna Project moja nilikuwa nafanya wakati huo Chatgpt ndo imeanza kuwa gunzo, Moja kwa moja nikaona ngoja niijaribu.
Nilianza kuiomba inisaidie kuandaa business plan na wakati huo nlikuwa sija feed data yoyote kuhusu hiyo project, Majibu ni kwamba ilishindwa. Nikaona isiwe shida nikaanza na kuandaa website kwa sababu nlikuwa najua nini nakifanya. ChatGPT ilinisaidia kwa 99% kwenye ile website, kuanzia content mpangilio na kila kitu. Baada ya kumaliza nikarudia tena swali lile la mwanzao kuniandikia Business Plan, Chakushangaza awamu hii ilinipa kile kitu nilicho kuwa nataka, iliniandikia Business plan nzuri na ya kuvutia kitu imeshindwa ni issue ya Financial projection kitu ambacho nilishafanya research hivyo data ninazo ni ku feed tu. Hivyo hivyo nilifanya kwa Company profile na Pitch Desk na nimepata majibu ya kushangaza na kuvutia.

Kwa maana hiyo ChatGPT inakuja kuwa msaada mkubwa kwa kurahisisha mambo na unachotakiwa kufanya ili kupata majibu mazuri jaribu kuelezea jambo lako vizuri kama nikitu kipya hakika utafurahi.
 
Kama Microsoft wakiacha uhafidhina watamtetemesha sana Google ila kwa uhafidhina wao wa sasa sijui kama Google atawaacha salama.

Google wamenyamaza kimyaaa kama hawapo baada ya kuzingua kwenye presentetion yao ya BERT ila wakiibuka na AI Powered Google vita inaanza upya mana hata openai watasahaulika kwa general users watabaki kwa technical users tu.
Google kama ameshapoteana.....microsoft wanazidi kuwaacha mbali, sasa hivi wamekuja na kitu kingine zaidi ya GPT inaitwa Copilot,hatari sana hiyo[emoji4]
 
IMG_5379.jpg

Nilikuwa naandaa article ya weekend kakakosea, good thing huwa natumia GPT kuandaa template tu ila sio kila kitu, kwanza ni insult kuwaandikia watu newsletter kwa kutumia AI considering wanalipia
 
Google nao wameachia Bard, just got my turn today, naijaribu hapa, so far so good, tofauti yake kubwa na GPT anayetumia data prior to 2021, Bard anatumia real time data ...nitarudi kusema nilichoona
 
116+ Best AI Productivity Tools
Code:
https://www.futurepedia.io/ai-tools/productivity
1679451097861.png

=
"Futurepedia (Artificial Intelligence): The largest AI tools directory, updated daily."
 
Google nao wameachia Bard, just got my turn today, naijaribu hapa, so far so good, tofauti yake kubwa na GPT anayetumia data prior to 2021, Bard anatumia real time data ...nitarudi kusema nilichoona
Bard ni website au ni app ya kulipia 🤔
 
Back
Top Bottom