Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Huwa Nawaza Hao Jamaa Waliotengeneza Hiyo Kitu Wangekuwa Wanashinda Kwa Mwamposa Kusubiri Miujiza Sijui Ingekuwaje Leo.
Nawewe usieshinda kwa Mwamposa umegundua platform ipi mpaka leo,naona Facebook, Instagram, WhatsApp,Google,na sasa chat GPT4 zote hizo ni zimegunduliwa na watu wa mataifa yaliyoendelea,wewe mwenzetu sijui umegundua nini mpaka sasa.
 
Afu mbona naona watu wengi mnachanganya maada humu. chatGPT haijatengenezwa na Microsoft, imetengenezwa na moja kati ya mfanyakazi wa Microsoft ambae ana kampuni yake tofauti na Microsoft

chatGPT gpt siyo product ya Microsoft ni product ya kampuni ya OpenAi
 
OpenAI ndio creator wa GPT 4 , sio wafanyakazi wa microsoft ni kampuni kubwa tuu ina thousands of Engineers pia, microsoft ni investor anamiliki 51% mpaka pesa yake aliyo invest OpenAI irudi, sasa wameachia API na plugs kwa developers, nina uhakika vitu vizuri vitaanza kuingia sokoni, kampuni nyingi zitaanza kuzaliwa soon
 
Shukrani

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau?
My chat gpt account haina tena access siku ya tatu. Je nini shida? Je imefungwa kwa muda.
Ilishaanza ku ni raibu kwa muda.
Au nilipewa trial access. Nyie mbaipata? Au wahuni wamehack my account?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…