Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Hiyo inatumika kikawaida zaidi, haina rejea za majibu yake. Nadhani anafaa kwa fafanuzi za elimu ya Msingi na Secondari.
 
Iko hivi dakika

Dk60=1hr + 30=1hr & 30


Kwa hiyo hakuna utofauti hapo kitu ni kile kile
 
Jamaa nikamuuliza unajua Kiswahili isee yaani siumizi kichwa tena nikumfuata al chat gpt nafurahia ulimwengu wa internet
 
Dah technologia imefika patamu sana. The future is exciting! 👍😃
 
Hutakiwi kuiamini kwa asilimia zote bado changa hii
 
Wakuu kama kichwa cha habari kilivyojieleza.

Nimepata hamasa sana baada y kusikia habari za chathpt 4 ambayo ni ina real-time response hii tunayotumia ina limited data ya 2021.

Kwahiyo naweza vipi kuiaccess chatgpt 4 maana, link nyingi zinakuleta kwenye hii ya sasa ambayo ni chatgpt 3.

Msaada wakuu wa kielimu.
 

For those interested, hii ni tech talk from Harvard kuhusu GPT 4 na namna ya kuitumia, iko vizuri iangalieni mnaweza gain one or two things kwa faida zenu maana mmelala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…