Step_Rocker
Senior Member
- Aug 31, 2021
- 197
- 323
Bing chat inatumia model za gpt-4 nafikiri ni free ila unasubiri uwe waitlisted kwanza, ama lipia premium kwenye chatgpt ya kawaida upate acces ya hio gpt-4Wakuu kama kichwa cha habari kilivyojieleza.
Nimepata hamasa sana baada y kusikia habari za chathpt 4 ambayo ni ina real-time response hii tunayotumia ina limited data ya 2021.
Kwahiyo naweza vipi kuiaccess chatgpt 4 maana, link nyingi zinakuleta kwenye hii ya sasa ambayo ni chatgpt 3.
Msaada wakuu wa kielimu.
Waliolipia ile wanasema hamna cha ajabu.Bing chat inatumia model za gpt-4 nafikiri ni free ila unasubiri uwe waitlisted kwanza, ama lipia premium kwenye chatgpt ya kawaida upate acces ya hio gpt-4
Binadamu wote ni wavivu ndio maana zikatengenezwa baiskeli, pikipiki na magari kurahisisha usafiri, watu wakatumia trecta badala ya jembe n.kTunapenda sana mteremko
basi kumbe gpt-4 haina maajabu ni matangazo ya kuifanya itrend tu kama ndio hivyoWaliolipia ile wanasema hamna cha ajabu.
Unajua unaweza ukawa una kitu lakini hujui kukitumia mwisho wa siku utaona hakina maajabu. Nmeona watu huko LinkendIn wanatumia kufanya vitu ambavyo vinastajabishaWaliolipia ile wanasema hamna cha ajabu.
Yes namanisha ina data zote za miaka yote ya nyuma mpaka huo mwaka"chatgpt inadata za 2021"
Sijaelewa hapa kwamba hamjui magu au?
Wanaifanyia majaribio...kama kichwa cha habari kinavyojieleza binafsi nimetumia sana chatgpt ila nilipo jaribu kutumia bard sikutaka kuendelea sana labda kutokana na mazoea niliokuanayo kutoka chatgpt, kwanza kilicho nifanya nisiendelee kuitumia ni kutokana na mfumo wake upo tofauti sana, hauneshi mada inazungumzia nini
Pili ni lugha chache sana inazozielewa
yapo mengi ila kama nilivyoelezea hapo mwanzo nimeshindwa kuendelea kuitumia naona bado ipo nyuma sana kulinganisha na chatgpt ingawa chatgpt inadata za 2021 ila ni helpful sana
kwa mlioitumia mnaweza kutuambia ubora wake upo wapi
NOTE: Sijasema kuwa haifai wala haina uwezo bari hayo ni maoni yangu binafsi kulingana na matumizi yangu, na inaweza kuwa bora zaidi ya chatgpt kwa hilo msiniquote vibaya.
View attachment 2618892
ChatGpt ni mashine nyingine hatariIla wanatoa majibu ya uongo sanaaaa, heri Chat GPT
Elon Musk nae amekuaje tena si ameisha kataa haya mavituBard hawajatulia bado ila watakuja kua moto sana.
ChatGPT kwa sasa ni mwisho wa matatizo.
Kuna Al.X ya Elon Musk. Hii bado haijatoka ila tutegemee itakuja kua matatizo makubwa mbeleni.