Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Naona sasa wameweka voice capability kwenye Chrome unaweza kutumia sauti kutuma maswali yako pia ikakujibu kwa sauti kama vile unaongea na mtu mwingine.

Link yake hii hapa
 
𝗔𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗯𝗮𝗻𝗱𝗶𝗮 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝗶𝗺𝗲𝗸𝘂𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝗮𝗽𝗽 𝘆𝗮𝗸𝗲

Ramsi sasa akili bandia inapatikana app yake najua watu wengi walikua wakitafuta app za akili bandia kupitia soko la play store pamoja na app store wanakutana nazo nyingi alafu aziko seriously sana.

kampuni ya OpenAi Ramsi imeleta app ya ChatGpt kwenye soko la app store itaanza kupatikana kwa watumiaji wa iphone pamoja na ipad nchini marekani, ila muda sio mrefu itaachiwa kwa nchi nyinginezo ulimwenguni.

Kupitia soko la app store chat Gpt ni Bure kutumia kwa watumiaji wake wote. Pia unaweza kuleta zile history Zako ulizotumia kwenye web browser kuhamishia kwenye app yake.

Pia walichokiongezea Zaidi ni uwezo wa mtumiaji kuweza kuweka sauti yake kupitia mfumo voice kwa ajili ya kuweka mazungumzo.

Utakua na uwezo wa kutengeneza idea mpya mbalimbali, kujibu maswali mbalimbali pamoja na kupata ushauri pia na Ile command Yetu ya rewrite this utaweza kuitumia kwa wanafunzi ,waandishi pamoja na pro kuweza kuandika makala mbalimbali.

Pia chat Gpt version 4 inapatikana kwenye app mtumiaji atakua na uwezo wa kufanya Zaidi ya yule anayetumiq free version unaweza lipia kupata huduma Zaidi.

Kwa sasa ipo kwa watumiaji wa iphone ila kwa android soon itakuja pia muendelee kusubiria kwa sasa Iko kwenye matengenezo ikimalika itapatikana kwa mamilioni ya watumiaji wa simu za android ulimwenguni.
 

Attachments

  • IMG_1673.jpeg
    195.2 KB · Views: 26
Nimeona interview moja elon musk anasema kati ya makosa aliyowahi kufanya ni kujiondoa kwenye Open Ai.
 
Wito: Tumia AI kufanya tafiti na kuuliza research question ngumu na zinazohitaji uchambuzi wa kina,

Hakikisha unakuwa vizuri kwenye kuweka Prompt sahihi na Detailed.

Hapa chini BingCHAT imeomba Poo, Baada ya prompt moja tu iliyoshiba.



BTW kwa upande wa Bard, Haikuchukua muda kuja na majibu detailed kamanilivyo hitaji.

Task niliyotoa ni hii


=
Bard
 
Hapa ulimuuliza nini hadi akachemka
 
Hii kitu imerahisisha kazi zangu Mara 100,report zangu, emails or any information ninayopost au kutuma natumia hii tech kwa kiasi kikubwa siku hizi, naipa points kidogo tuu na kuipa maelekezo ifanye nini na editing zote inanifanyia yenyewe, kazi ya nusu saa sasa ni less than 5 minutes
 
Siku hizi UDOM vijana hawakai kwenye vimbweta ..hata college ya afya reference zao ni Chat GPT
 
ChatGPT ni artificial intelligence iliotengenezwa na openAI, unaweza iuliza ikuandikie barua, report, inaweza kutengeneza website na mengine mengi, yajayo ni hatari sana
Haiwezi kutengeneza website mpaka uwe unajua coding
 
Amexingua uyo chat gdp nimemwambia anitengenezee mkeka wa odd 10 nijilipue amekataaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…