TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,894
- 8,454
Hana ujanja lazima aende nayo tu, maana dunia ina hitajiElon Musk nae amekuaje tena si ameisha kataa haya mavitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana ujanja lazima aende nayo tu, maana dunia ina hitajiElon Musk nae amekuaje tena si ameisha kataa haya mavitu
Nimeona interview moja elon musk anasema kati ya makosa aliyowahi kufanya ni kujiondoa kwenye Open Ai.𝗔𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗯𝗮𝗻𝗱𝗶𝗮 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝗶𝗺𝗲𝗸𝘂𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝗮𝗽𝗽 𝘆𝗮𝗸𝗲
Ramsi sasa akili bandia inapatikana app yake najua watu wengi walikua wakitafuta app za akili bandia kupitia soko la play store pamoja na app store wanakutana nazo nyingi alafu aziko seriously sana.
kampuni ya OpenAi Ramsi imeleta app ya ChatGpt kwenye soko la app store itaanza kupatikana kwa watumiaji wa iphone pamoja na ipad nchini marekani, ila muda sio mrefu itaachiwa kwa nchi nyinginezo ulimwenguni.
Kupitia soko la app store chat Gpt ni Bure kutumia kwa watumiaji wake wote. Pia unaweza kuleta zile history Zako ulizotumia kwenye web browser kuhamishia kwenye app yake.
Pia walichokiongezea Zaidi ni uwezo wa mtumiaji kuweza kuweka sauti yake kupitia mfumo voice kwa ajili ya kuweka mazungumzo.
Utakua na uwezo wa kutengeneza idea mpya mbalimbali, kujibu maswali mbalimbali pamoja na kupata ushauri pia na Ile command Yetu ya rewrite this utaweza kuitumia kwa wanafunzi ,waandishi pamoja na pro kuweza kuandika makala mbalimbali.
Pia chat Gpt version 4 inapatikana kwenye app mtumiaji atakua na uwezo wa kufanya Zaidi ya yule anayetumiq free version unaweza lipia kupata huduma Zaidi.
Kwa sasa ipo kwa watumiaji wa iphone ila kwa android soon itakuja pia muendelee kusubiria kwa sasa Iko kwenye matengenezo ikimalika itapatikana kwa mamilioni ya watumiaji wa simu za android ulimwenguni.
"Conduct an in-depth research analysis to identify the alt-coin that exhibits the most promising potential for growth, stability, and profitability in the year 2024. Start by exploring the current cryptocurrency landscape and analyzing historical market trends. Consider factors such as market capitalization, trading volume, technological advancements, and adoption rate.
Investigate the alt-coins that have demonstrated consistent growth over the past few years and assess their potential for future development. Evaluate the underlying technology, scalability, and security features of each coin. Examine the team behind the project, their expertise, and their track record.
Furthermore, delve into the alt-coins' market positioning and competition. Analyze their unique value proposition, use cases, and partnerships. Assess their ability to adapt to regulatory changes and navigate market volatility.
Utilize a wide range of reliable sources and verifiable data, including reputable cryptocurrency exchanges, financial reports, industry news, whitepapers, and expert opinions. Consider both qualitative and quantitative data to make an informed judgment.
Based on your comprehensive research, provide a detailed analysis and recommendation of the alt-coin that you believe has the highest probability of significant growth, stability, and profitability for the year 2024. Support your findings with strong evidence and logical reasoning.
Please note that the alt-coin landscape is highly volatile and subject to unpredictable market forces. Therefore, it is essential to emphasize the speculative nature of cryptocurrency investments and the need for thorough research and risk assessment.
Ensure that your research prompt contains at least [insert desired word count] words and encourages a comprehensive exploration of the alt-coin market landscape and its potential for future success."
Hapa ulimuuliza nini hadi akachemkaTumia AI kufanya tafiti na kuuliza research question ngumu na zinazohitaji uchambuzi wa kina,
Hakikisha unakuwa vizuri kwenye kuweka Prompt sahihi na Detailed.
Hapa chini Bing CHAT imeomba Poo, Baada ya prompt moja tu iliyoshiba.
View attachment 2825661
BTW kwa upande wa Bard, Haikuchukua muda kuja na majibu detailed kamanilivyo hitaji.
Task niliyotoa ni hii
Code:"Conduct an in-depth research analysis to identify the alt-coin that exhibits the most promising potential for growth, stability, and profitability in the year 2024. Start by exploring the current cryptocurrency landscape and analyzing historical market trends. Consider factors such as market capitalization, trading volume, technological advancements, and adoption rate. Investigate the alt-coins that have demonstrated consistent growth over the past few years and assess their potential for future development. Evaluate the underlying technology, scalability, and security features of each coin. Examine the team behind the project, their expertise, and their track record. Furthermore, delve into the alt-coins' market positioning and competition. Analyze their unique value proposition, use cases, and partnerships. Assess their ability to adapt to regulatory changes and navigate market volatility. Utilize a wide range of reliable sources and verifiable data, including reputable cryptocurrency exchanges, financial reports, industry news, whitepapers, and expert opinions. Consider both qualitative and quantitative data to make an informed judgment. Based on your comprehensive research, provide a detailed analysis and recommendation of the alt-coin that you believe has the highest probability of significant growth, stability, and profitability for the year 2024. Support your findings with strong evidence and logical reasoning. Please note that the alt-coin landscape is highly volatile and subject to unpredictable market forces. Therefore, it is essential to emphasize the speculative nature of cryptocurrency investments and the need for thorough research and risk assessment. Ensure that your research prompt contains at least [insert desired word count] words and encourages a comprehensive exploration of the alt-coin market landscape and its potential for future success."
Hii ngoma inaweza kuua hadi google search, na hapo unaambiwa bado ipo kwenye BETA.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]Napenda sana kufanya conversation za kijinga na ChatGPT [emoji16][emoji16]View attachment 2870841View attachment 2870842View attachment 2870843
Haiwezi kutengeneza website mpaka uwe unajua codingChatGPT ni artificial intelligence iliotengenezwa na openAI, unaweza iuliza ikuandikie barua, report, inaweza kutengeneza website na mengine mengi, yajayo ni hatari sana
Unajua hii inaondoa hadi boredom, you feel like you are talking to a personNapenda sana kufanya conversation za kijinga na ChatGPT [emoji16][emoji16]View attachment 2870841View attachment 2870842View attachment 2870843
MAMBO YANAZIDI KUWA MAMBO ASEEEEEEEEENapenda sana kufanya conversation za kijinga na ChatGPT [emoji16][emoji16]View attachment 2870841View attachment 2870842View attachment 2870843
Ahahah zombi la mazombiNapenda sana kufanya conversation za kijinga na ChatGPT [emoji16][emoji16]View attachment 2870841View attachment 2870842View attachment 2870843