Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Watu wenye akili kubwa ndio vitu gani, kabla sijakwambia nothing can beat human mind nikuulize kwanza, unajua research funding zinatokana na interests na affiliation? Robots inaweza tambua hiyo?
Teknolojia ya sasa imefikia kiwango ambacho inaweza kufanya mambo ambayo hapo awali yalikuwa yanafanywa na binadamu pekee. Kwa mfano, teknolojia ya akili bandia imeweza kutengeneza robots ambao wanaweza kufanya kazi nyingi ambazo awali zilikuwa zinafanywa na binadamu.

Kuhusu swali lako, ni kweli kuwa utafiti na maendeleo ya teknolojia yanategemea sana ufadhili. Hata hivyo, hii haimaanishi kwamba teknolojia ya akili bandia na roboti haina nafasi yake katika maendeleo ya kisayansi na kiuchumi. Kwa mfano, teknolojia hii ina uwezo wa kusaidia kufanya utafiti na ugunduzi wa kisayansi kwa haraka zaidi na kwa gharama nafuu zaidi. Pia, inaweza kutumiwa katika sekta mbalimbali kama vile afya, uchukuzi, na viwanda.

Kuhusu uwezo wa roboti kutambua maslahi na uanachama, teknolojia ya akili bandia ina uwezo wa kujifunza na kuchambua data kwa kasi zaidi kuliko binadamu. Kwa hivyo, roboti inaweza kutambua maslahi na uanachama kwa urahisi na kufanya maamuzi yanayofaa kwa mujibu wa data iliyochambuliwa.

Kwa hivyo, napenda kukuambia kwamba teknolojia ya akili bandia na roboti ni sehemu muhimu sana ya maendeleo ya kisayansi na kiuchumi. Naamini kuwa bado kuna nafasi kwa teknolojia hii kukua na kuendelea kufanya mambo makubwa zaidi, na hivyo kuwa msaada mkubwa kwa binadamu.
 
Ningekuwa nasoma mambo yangu yote ya assignment zingefanyika hapa, ni mwendo wa editing na submission tuu..

Changamoto yetu bongo hii AI inawezna chukua 10 yrs ndio ikaja ikawa wide usage kwa watu hata wenye ufahamu umdogo kwa mambo yahusuyo tech...
 
sure. sema ninachoona kwa sababu ni kitu ambacho watu wakikishtukia watakichangamkia sana (especially wanafunzi), ila ili kuitumia hii mambo to the fullest inahitaji ujanja, kujifundisha na uzoefu, wengi baada ya kuifahamu huenda wakaishia juu juu tu, na wala wasichume matunda yote ya hii teknolojia
 
Nafikiria hapa kwenda kuingeza elimu uhusuyo research find ili huyu jamaa awe mkombozi wangu nimalize mambo chap chap, wanafunzi hasa wa dunia ya sasa wanaotoka nchi za dunia ya 3 wanatakiwa wawe ni watu wakushinda kwenye forums maana huko ndio kujua mambo mengi au trending tech amabzo zina run kwa sasa
 
sure, binafsi nilianza kuwa karibu zaidi na Quora, ila badae nikaja nikaona Jf ndo platform kwa Tz mtu unaweza kujimix vizuri na watu na kupata madini mengi zaidi.
 
Nilichokibaini katika ChatGPT, Kuna bahadhi ya majibu siyo ya ukweli, siyo sahihi Kwa asilimia 100. Kwa hiyo, developers wahakikishe ufanisi unapatikana Kwa angalau 99.9%.
Unaweza ukauliza swali dogo tu lakini majibu yakaja tofauti na jinsi ilivyoandikwa katika vitabu, tena vitabu bora kabisa vilivyothibitishwa na mamlaka zinazotambulika.
 
Kumbe ndugu, kule kuchart kwa watsap na Muhudumu wa VOda com inamaana na chart na hilo dubwana[emoji23]
 
Human mind is also a programmed mind otherwise it could totaly be empty like cow mind.
Tayari Robot ina replace human haalafu unauliza wakati vitu viko wazi.
Wewe huna uwezo wa ku process millions of information per second wakat robot ana process billions of info per second..
Usiseme eti Robot imeundwa na human, ni kweli ila sio binadamu mwenye akili za kawaida. Binadamu wengi duniani uwezo wao ni mdogo sana, hivyo hawataweza kulingana uwezo na Robot ilioundwa na watu wenye akili kubwa.
Hapa nakubishia mazima kaka...
Ukumbuke huyo robort hajitumi pekeake mpaka awe controled na human mind.They can settle out a day without nothing if human does nothing to it.
 
juzi juma pili niliitumia kuandaa project proposal moja mtu aliniamba nimwandalie draft. sema nilichogundua ukiipa maelezo mengiiiiiiiiiiiiii,
let say unatumia ile njia kwamba unaiambia "I will be giving you instructions in chunks. After each instruction reply with NEXT, and my last instruction I will end it with END" alafu uanze kuipa Data sasa ya vitu vyako, unaipa, unaipa, unaipa, unaipa, unafika mahali inachanganyikiwa inakuambia "may i help you[emoji23][emoji23]" unaiuliza tulikuwa tunafanya nini unakuta imepoteana. Kwaiyo namna rahisi nimeona ni kuitafunia na kuipa instructions fupi fupi, na zinazoeleweka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa wale developers wa bongo, OpenAI (chatgpt creator) wameachia API sasa kazi kwenu kufikiria na kutafuta namna ya kuitumia kutengeneza killer app ambazo zita solve matatizo ya wabongo sio lazima mzungu atufanyie kila kitu , ila nasikia developers wa bongo wavivu na wababaishaji sana hata kutengeneza simple app nasikia ni issue, soon sitashangaa kuona AI lawyer or Doctor, chatgpt ni fursa kubwa sana na itagusa kila kona ya uchumi wa nchi
 
Nili miss deadline kufanya paper basi nikajiona mjanja na chatGpt nikafanya kuchukua 100% content huko na siku bother ku proof read. Well nilijua sijui[emoji28] akili ya binadamu ni ya binadamu tu almost paper nzima ilijaa corrections tu na nili score poorly sana kwenye ile paper. Niliamua kuitumia chatgpt kwenye ishu zingine ila academically niliitumia kidogo sana.
 
Hapo shida wala sio ChatGPT shida iko kwa ma-lecturer wetu wako very Conservative huwa hawataki kabisa mawazo mapya!

Hata kama uko sahihi uki-represent tofauti na alivyokariri yeye ujue umechinjwa!.
 
Kwa wale developers wa bongo, OpenAI (chatgpt creator) wameachia API sasa kazi kwenu kufikiria na kutafuta namna ya kuitumia kutengeneza killer app ambazo zita solve matatizo ya wabongo sio lazima mzungu atufanyie kila kitu , ila nasikia developers wa bongo wavivu na wababaishaji sana hata kutengeneza simple app nasikia ni issue, soon sitashangaa kuona AI lawyer or Doctor, chatgpt ni fursa kubwa sana na itagusa kila kona ya uchumi wa nchi
How to make a profit out of it?
 
How to make a profit out of it?
Boss ningekuwa najua ningekuwa billionaire ila nafikiria kila siku namna ya kuitumia, think a company like Uber, walitumia technology ya GPS, internet na payment system ambazo zilikuwepo tayari wakaja na multi billion app tunayoijua leo, chatGPT ni kama internet, GPS etc, profit utapata ukijua namna ya kuitumia chatgpt kutoa solution ya matatizo ya watu kama uber alivyofanya kwenye usafiri
 
How to make a profit out of it?
KWANZA:
1. Learn marketing.
2. Learn machine learning.
3. Compile social data.
4. Train a custom model.
5. Use the model to offer useful services.

Mfano tourism itafaidika sana kupitia AI cha muhimu ni kuwa na vitendea kazi na ujuzi wa kutrain a custom model.

Ipo hivi mfano ukitrain custom model kwa kuifeed text data za kiswahili basi nayenyewe itaweza kufanya mambo mengi na kutoa majibu mengi kwa kiswahili. Ukii train Kijerumani same applies, etc etc.

Tourism inahitaji sana tools za ku interact mfano mtalii kutoka Sweden hajui hata Kingereza na anapoandaa travel plan yake anategemea sana TripAdvisor ya kisweden. Same applies kwa maraifa mengi ya Ulaya.

So unaweza kuja na AI based tour guide web and mobile app. Ikawa na lugha labda nane hivi.

Monetization strategy lazima uwe na tour agents kadhaa ambao utasaidia kuwapa wateja na wa subscribe kwenye mfumo wako.

Pia unaweza kuwa na online tutor wa lugha zote duniani kupitia AI. Ujuzi na uwezo wako wa kukusanya data (be it text or numbers) na kutrain custom model ndo utadetermine your success.
 
Nili miss deadline kufanya paper basi nikajiona mjanja na chatGpt nikafanya kuchukua 100% content huko na siku bother ku proof read. Well nilijua sijui[emoji28] akili ya binadamu ni ya binadamu tu almost paper nzima ilijaa corrections tu na nili score poorly sana kwenye ile paper. Niliamua kuitumia chatgpt kwenye ishu zingine ila academically niliitumia kidogo sana.
You are right.

ChatGPT haipo 100% correct. Unatakiwa uweke human element.
 
Back
Top Bottom