TANZIA Mmiliki Kampuni ya TOP Maasai Company Limited, Joram Lukumay amefariki Dunia

TANZIA Mmiliki Kampuni ya TOP Maasai Company Limited, Joram Lukumay amefariki Dunia

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,436
Reaction score
4,756
Habari nilizopata Usiku huu ni kwamba

Mmiliki na Mwanzilishi wa Kampuni ya TOP Maasai Company Limited Ndugu Joram Lukumay Amefariki Dunia. Bwana Lukumai alikuwa mfanyabiashara katika Sekta za Nishati na Sekta za Madini Mkoani Arusha.

Mwenye taarifa zaidi naweza kutupa zaidi.Ila nimpe Pole Mkewe na watoto wake pamoja na Ndugu na Jamaa na Marafiki.

Lukumay.jpg

Bwana ametoa na bwana ametwaa Jina lake Libarikiwe.
 
MToto wake ameoa familia ya president mwinyi za zanzibar. R.i.p kaka...
Ni kweli Mkuu,Huyu ni Mkwe wa Kina Mwinyi.Wanakaa Maeneo ya Sakina,Kiranyi Harusi ilibamba pale nyumbani kwake.Anajego lake maeneo ya Silent in Arusha Jirani na Bar ya Songambele.

Huyu bwana ni mtu Poa sana na Mstaarabu.Alikuwa anapenda sana kukaa maeneo ya Florida Bar.
 
Kabisa kaka
.... almaarufu balozi.. inaelekea we jamaa mwenyeji sana wa chugga
 
Back
Top Bottom