Moleli, Laizer na Lukumay koo kubwa huko Arusha.Huu ukoo mkubwa kweli
Ova
Mwarusha aongee kiarusha, mmasai aongee kimasai, wataelewana ? Naomba ufafanuzi
Wote ni Wamasai wanaelewana ni Utofauti kidogo wa kimazingira. Waarusha ni Wamasai wa mjini
Nilidhani Jamie Fox.Mwanae huyu apa amenuoa mtoto wa mwinyiView attachment 3379030
,Wamasai kwa upande mwingine ni waarusha tofauti ni kwamba wengine wako mjini wengine wako mbugani.
Cc Monetary doctor
Kwa kiwango kikubwa. Tofauti kubwa ni waarusha wanalima ila wamasai wanafugaSOrry, wamasai na waarusha wanasikilizana ?
Iko hivyo kabisa.Ndo, wamasai wanafuza, Waarusha wanalima. Na kop za kimasai ni nyingi za Waarusha hazifiki 10
,
Yes wanaelewana lugha na tamaduni zote sababu mwarusha aliadopt kwa mwenyeji wake mmasai. Mwarusha ni mbantu wakati mmasai ni niloteMwarusha aongee kiarusha, mmasai aongee kimasai, wataelewana ? Naomba ufafanuzi
RIP comrade!
Sijui una undugu wowote na Lydia Lukumay!!?
Kwa hiyo kuna kabila la waarusha?Yes wanaelewana lugha na tamaduni zote sababu mwarusha aliadopt kwa mwenyeji wake mmasai. Mwarusha ni mbantu wakati mmasai ni nilote
Kwa hiyo kuna kabila la waarusha?
Mwarusha sio mbantuYes wanaelewana lugha na tamaduni zote sababu mwarusha aliadopt kwa mwenyeji wake mmasai. Mwarusha ni mbantu wakati mmasai ni nilote