Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Kina denis robert shughuru na Lucas MwashambwaR.I.P Mwamba.Wapambanaji wanaondoka Dunia inabaki na watu lonyalonya tu.
UshimenRIP.Ngoja tumsubiri classmate wake aje atutaarifu kwa kina.
Nawe ni tajiriMatajiri tumeanza kufa..
Wamasai kwa upande mwingine ni waarusha tofauti ni kwamba wengine wako mjini wengine wako mbugani.Lukumay, Mollel, Laiser, Letara na Kivuyo ni moo za kiarusha na sio maasai
Si kusikilizana tu, pia wanaelewana.SOrry, wamasai na waarusha wanasikilizana ?
Hakuna mwarusha bhn,Wamasai kwa upande mwingine ni waarusha tofauti ni kwamba wengine wako mjini wengine wako mbugani.
Cc Monetary doctor
Ooh poleni sana
Yes, hakuna mwarusha bali wamasai.Hakuna mwarusha bhn,
Ni kama wameru na wachaga, Kuna wagweno,
Ila ndo hivyo upo sahihi
Kwa mbali kama Kagame hiv.Pole sana kwa familia yake.Kuondokewa na mwanafamilia kuna maumivu ya pekee.Habari nilizopata Usiku huu ni kwamba
Mmiliki na Mwanzilishi wa Kampuni ya TOP Maasai Company Limited Ndugu Joram Lukumay Amefariki Dunia. Bwana Lukumai alikuwa mfanyabiashara katika Sekta za Nishati na Sekta za Madini Mkoani Arusha.
Mwenye taarifa zaidi naweza kutupa zaidi.Ila nimpe Pole Mkewe na watoto wake pamoja na Ndugu na Jamaa na Marafiki.
Bwana ametoa na bwana ametwaa Jina lake Libarikiwe.
Asante mkuu.Ooh poleni sana
NaaamYes, hakuna mwarusha bali wamasai.
Mwanae huyu apa amenuoa mtoto wa mwinyiHabari nilizopata Usiku huu ni kwamba
Mmiliki na Mwanzilishi wa Kampuni ya TOP Maasai Company Limited Ndugu Joram Lukumay Amefariki Dunia. Bwana Lukumai alikuwa mfanyabiashara katika Sekta za Nishati na Sekta za Madini Mkoani Arusha.
Mwenye taarifa zaidi naweza kutupa zaidi.Ila nimpe Pole Mkewe na watoto wake pamoja na Ndugu na Jamaa na Marafiki.
Bwana ametoa na bwana ametwaa Jina lake Libarikiwe.
Aisee rest easy brother, waaay back nikitambo sana. Mwanga wa milele akuangazieHabari nilizopata Usiku huu ni kwamba
Mmiliki na Mwanzilishi wa Kampuni ya TOP Maasai Company Limited Ndugu Joram Lukumay Amefariki Dunia. Bwana Lukumai alikuwa mfanyabiashara katika Sekta za Nishati na Sekta za Madini Mkoani Arusha.
Mwenye taarifa zaidi naweza kutupa zaidi.Ila nimpe Pole Mkewe na watoto wake pamoja na Ndugu na Jamaa na Marafiki.
Bwana ametoa na bwana ametwaa Jina lake Libarikiwe.
Matajiri tumeanza kufa..
Tunakufa kwa batchKwa hiyo hatujawahi kufa huko nyuma!!??
Lukumay sio ukoo mkubwa kwa wamasai.Huu ukoo mkubwa kweli
Ova