Picha
Sijaona mkuuPicha hujaona!
Sijaona mkuu
Ni kweli Mkuu,Huyu ni Mkwe wa Kina Mwinyi.Wanakaa Maeneo ya Sakina,Kiranyi Harusi ilibamba pale nyumbani kwake.Anajego lake maeneo ya Silent in Arusha Jirani na Bar ya Songambele.MToto wake ameoa familia ya president mwinyi za zanzibar. R.i.p kaka...
Kabisa kakaNi kweli Mkuu,Huyu ni Mkwe wa Kina Mwinyi.Wanakaa Maeneo ya Sakina,Kiranyi Harusi ilibamba pale nyumbani kwake.Anajego lake maeneo ya Silent in Arusha Jirani na Bar ya Songambele.
Huyu bwana ni mtu Poa sana na Mstaarabu.Alikuwa anapenda sana kukaa maeneo ya Florida Bar.