TANZIA Mmiliki Kampuni ya TOP Maasai Company Limited, Joram Lukumay amefariki Dunia

Eti ni kweli triple A sio ya papa kiinyi tena?
 
Ndio hao lukumay wenye Masai club kinondoni ? Mungu apumzishe kwa Amani.
 
Juzi nilikuwa hapo kwenye event moja ukumbi umechokachoka,, kidadisi nikaambiwa papa kiinyi sio mmiliki kauza kwa mchaga mmoja jina nimesahau
Huenda ni kweli.
Papa kiinyi/king aliendekeza machawa sana.
Na enzi za JPM aliyumba sana
 
Kuna mtu aliuliza masai huwa wanazikwa wapi? Sasa afuatilie huu msiba maana misiba yao haijawahi kuelewekwa
 
Pole sana kwa familia,mzee alikua mtu safi sana na rafiki
 
Aisee nimekua na huyu mzee kwa kipindi kifupi ila alikua ni mtu mkarimu sana
 
Nimeondoka Huko Miaka kadhaa ila ninapafahamu vizuri na pia ni utembeleaga mji
Kupitia huyu nilikutana na muhindi tajiri Arusha anakula mayi mpaka baadae.....pia anasahau viatu na Range Rover....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…