TANZIA Mmiliki Kampuni ya TOP Maasai Company Limited, Joram Lukumay amefariki Dunia

Kwa mbali kama Kagame hiv.Pole sana kwa familia yake.Kuondokewa na mwanafamilia kuna maumivu ya pekee.
 
Mwanae huyu apa amenuoa mtoto wa mwinyi
 
Aisee rest easy brother, waaay back nikitambo sana. Mwanga wa milele akuangazie
 
Bw. Joram Lukumay apumzike kwa amani. Poleni familia, ndugu, jamaa na marafiki wa Joram.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…