TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Kwani marehemu alizitaja dhambi zake au ilikuwa inaeleweka na kuonwa na kila mtu kuwa anafuga danguro na kuuza pombe?nijibu wewe ni mkristo?
Imani yangu haina uhusiano wowote na kazi uliyojipa ya kutoa hukumu. Kuna tofauti kati ya kukemea dhambi na kuhukumu wenye dhambi. Sasa ili turudi kwenye curiosity yako juu ya aliyetangulia kwamba atajibu nini tuambie kwanza kuhusu wewe, umeshamalizana na MUNGU wako? Huna dhambi?
 
Jibu lenye akili zote saba
Hakuna jibu lolote hapo lenye akili. Kwamba dhambi ni zile zinazoonekana tu? Wanaojifungia chumbani na kufanya yao wenyewe wakifa? Huyu aseme kama yeye keshamalizana na MUNGU wake ndipo atapata wa uhalali wa kuuliza kuhusu mwingine.
 
Watu wenye biashara na mishe mishe nyingi hiyo concentration unaipataje? Unadhani ni kwa nini hata serikalini wakurugenzi na ma CEOs wanaendeshwa? Ukiwa na uwezo make sure una kuwa na good driver hasa kwa safari ndefu, ili upate muda wa kujikita kwenye mishe mishe zako .
Somo la delegation na division of labor limewapita watu wengi....!
 
Imani yangu haina uhusiano wowote na kazi uliyojipa ya kutoa hukumu. Kuna tofauti kati ya kukemea dhambi na kuhukumu wenye dhambi. Sasa ili turudi kwenye curiosity yako juu ya aliyetangulia kwamba atajibu nini tuambie kwanza kuhusu wewe, umeshamalizana na MUNGU wako? Huna dhambi?
Maneno mengi au wewe ni mtoa huduma wa chako ni chako? Kuna nilipomuhukumu ? Kwanini unakataa kutaja dini yako binti yangu unaogopa nini?
 
Maneno mengi au wewe ni mtoa huduma wa chako ni chako? Kuna nilipomuhukumu ? Kwanini unakataa kutaja dini yako binti yangu unaogopa nini?
Umeshamalizana na MUNGU wako huna dhambi ili tuone iwapo una uhalali wa kuhoji majibu atakayotoa marehemu kwa Muumba wake kuhusu dhambi zake?
Dini yangu inahusiana nini na hili swali? Jikite kwenye hoja boss.
 
Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa baa maarufu jijini Dodoma ya ‘Chako ni Chako’, Honorath Makoi unatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Kibosho, mkoani Kilimanjaro Alhamisi ya Novemba 07, 2024.
 
Umeshamalizana na MUNGU wako huna dhambi ili tuone iwapo una uhalali wa kuhoji majibu atakayotoa marehemu kwa Muumba wake kuhusu dhambi zake?
Dini yangu inahusiana nini na hili swali? Jikite kwenye hoja boss.
kuna ugumu gani kutaja dini yako? Kwa mujibu wa dini yako ipi ni hukmu ya mtenda dhambi mbele za muumba wake?
 
Muumba wangu mimi ndie wake...nimekuuliza kwa mujibu wa dini unayoiamini wewe ni ipi hukmu ya mtenda dhambi mbele za Mungu?
Hukumu yake imekugusa kuliko inayokusubiri wewe siku yako itakapofika?

Mkuu, tumepewa habari za msiba, huu ni msiba mzito kwa watu wanaomhusu huyo aliyefariki. Mambo ya dhambi zake ni yeye na MUNGU wake kama ilivyo wewe na dhambi zako zitakavyokuhusu wewe na MUNGU wako utakapofariki, unless useme wewe huna dhambi ila kama unazo, huna haki ya kuhoji majibu yake kwa MUNGU wake.
 
Mbona Bar ya Chako ni Chako ni ya muda mrefu mno sasa kama unasema huyu ni wa mwaka 1989 maana yake hawezi kuwa ndiye mmiliki mwanzilishi vinginevyo awe aliinunua ama alirithishwa.
Maelezo nilishatoa humuhumu kwenye uzi huu huu.
Chako ni Chako ni jina, wanakodi eneo na kulitumia jina hilohilo, eneo ni la akina Saimon na nduguze.
 
Back
Top Bottom