TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Hukumu yake imekugusa kuliko inayokusubiri wewe siku yako itakapofika?

Mkuu, tumepewa habari za msiba, huu ni msiba mzito kwa watu wanaomhusu huyo aliyefariki. Mambo ya dhambi zake ni yeye na MUNGU wake kama ilivyo wewe na dhambi zako zitakavyokuhusu wewe na MUNGU wako utakapofariki, unless useme wewe huna dhambi ila kama unazo, huna haki ya kuhoji majibu yake kwa MUNGU wake.
😂😂😂kweli upo sawa kichwani wewe? Huyo marehemu hafai kuigwa katika jamii sasa mtu anauza pombe na kumiliki danguro hivi kwa akili yako unaona ni mtu aliyekawa bora katika ustawi wa jamii kiujumla?wewe ni mkristo tatizo hapo kwa ushaamini Yesu kachukua dhambi za huyo aliyekataa kutii sheria za Mungu
 
Back
Top Bottom