TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kweli upo sawa kichwani wewe? Huyo marehemu hafai kuigwa katika jamii sasa mtu anauza pombe na kumiliki danguro hivi kwa akili yako unaona ni mtu aliyekawa bora katika ustawi wa jamii kiujumla?wewe ni mkristo tatizo hapo kwa ushaamini Yesu kachukua dhambi za huyo aliyekataa kutii sheria za Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…