TANZIA Mmiliki wa baa maarufu Magomeni, Hussein Macheni ameaga dunia ghafla nyumbani kwake

Kwa nini umeandika "aliyekuwa' ina maana alishaacha kuwa mmiliki au baa ilishafungwa? R.I.P Macheni
 
Hii hotuba kuna Ustadh wangu alikuwa anapenda kuitoa sana, hiyo ya KIVULI. Umenikumbusha mbali mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…