TANZIA Mmiliki wa baa maarufu Magomeni, Hussein Macheni ameaga dunia ghafla nyumbani kwake

Duh 😷 kwa hiyo Mkuu na wewe ulipata ukimwi
UKIMWI sio jambo la kumcheka ntu maana hatuwi na wenza wetu kila mahali. Yaani hatujui. Unaweza kupata ajali kesho asbh ukaongezewa dawa yenye ngoma. Tuzidi kuomba sio kusanifiana. Vifaa vya kupimia damu vimechakachuliwa ++
 
Umetoa maelezo ambayo kila mtu anayajua lakini hukujibu swali
 
Back
Top Bottom