TANZIA Mmiliki wa baa maarufu Magomeni, Hussein Macheni ameaga dunia ghafla nyumbani kwake

TANZIA Mmiliki wa baa maarufu Magomeni, Hussein Macheni ameaga dunia ghafla nyumbani kwake

Inna lilahi waina ilaihi rajiun. Mmiliki wa bar!! Na ndugu zake wanamuangalia tu, Allah amsamehe madhambi yake
 
MODS JF POST ZA MAREHEMU WAKIFA VYEMA.MKAZIONDOA MBONA ZA NGONO MNAONDOA HARAKA KAMA MMEPOKEA SIMU ZA CENTRAL.P

TTUWAHESHIMU
 
...
Dah....nimekula sana totoz hapo kwenye baa yake miaka ya 90.

Apumzike kwa Amani.
.na BADOO UKOOO haiiiii.mpwa ulikuwaa na kagere ya bb ninii.marafikizanguu wotee waliokuwa wakiendaa pale wamegawana site kinondon cementry WENGINE mbwenni waliopoo naonaa WANAFANYA booking loh
Kwa afyaa walizonazoo
 
... @inamamb_maji_tia_majiacheni iliyumba kabla BRT haijaanza, walishanza kuhamisha nguvu kwenye bar ya mke wke ashura kinondoni, ilikuwa style hzo hzo za macheni

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Mpaka BRT inakuja Macheni ilishakuwa Tia_maji_tia_maji. IPO kama haipo vile. The Highway Night Park aka Kwa Macheni.
 
Mmiliki wa baa maarufu ya Macheni iliyopo Magomeni jijini Dar es
Salaam, Hussein Macheni amefariki dunia leo baada ya kuanguka ghafla akiwa
nyumbani kwake Magomeni.

HM.jpg


Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu ni kwamba Macheni alianguka ghafla majira ya
saa 3 asubuhi na kukimbizwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo iligundulika kuwa
tayari amefariki.

Mwili wa marehemu umehifadhiwa Muhimbili kusubiri taratibu nyingine. Mwenyezi Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi. AMEN.

Chanzo : Global Publishers
Huyu jamaa ndo yule ambaye nilikuwaga nasikia miaka ya 2001 alikuwaga anaenda Dubai anatafunwa na waarabu halafu akirudi bongo anakuja na cheni za dhahabu anawatafuna wasanii wa kiume wenye tamaa halafu anawahonga cheni?
Au zilikuwaga story tu?
Maana wabongo kwa kuzusha hawajambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu jamaa ndo yule ambaye nilikuwaga nasikia miaka ya 2001 alikuwaga anaenda Dubai anatafunwa na waarabu halafu akirudi bongo anakuja na cheni za dhahabu anawatafuna wasanii wa kiume wenye tamaa halafu anawahonga cheni?
Au zilikuwaga story tu?
Maana wabongo kwa kuzusha hawajambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio kweli huyu bwana alikuwa mjanja wa awali kufanya biashara Dubai na hata Ashura mkewe amerudi toka Dubai sio muda mrefu
 
Pole Kwa Ndugu, jamaa na marafiki. Nakumbuka nilikuwa nakatiza asubuhi nikiingia zangu skuli Azania, asubuhi saa moja nakuta bado kuna mtu kibao zinapata mambo. Kwa Macheni kweli enzi hiyo.

Pumzika Kwa Amani Hussein.
Duh umenikumbusha enzi za ugomvi kati ya Azaboy na Jitegemee
 
Inalilah wainailayhi rajiun, nimepata habari few mins ago toka whatsapp group, Allah amuondolee adhabu ya kaburi, ampe kauli thabit,mbele yake nyuma yetu.
Yeye afungue mabaa halafu sasa hivi mnaanza Allah hivi ALlah vile? Akapambane na hali yake huko kaburini
 
Back
Top Bottom