spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Kumbe upo hapa townGari yangu hii ya kutokea mtwara kwenda tanga kwa lishangazi langu
Really no challenge hiyo. Long time 1996 ilitesa sana ruti ya Dar Singida.Taarifa zilizotufikia leo asubuh ni kuwa mmiliki wa Kampuni za usafirishaji abiria ya Tashrif Hamoud Said amefariki Dunia
Innalillah wainna ilayhi raajiuunView attachment 2585017
RIP kwake,alikuwa na umri gani?🤔Rip classmate
Waswahili wa uswazi..Pole kwa wafiwa
Ngozi nyeupe hiyo huwa hawana shida kabisa akifa watoto wanaendesha biashara bila Shida
Angekufa mswahili saa hii hata maiti wangekuwa hawahangaiki nayo wanajadili mirathi na kutembezeana vipigo na kuficha mali kila.mtu akificha anachoweza
Hqpo bado ndugu waswahili nao utakuta mbio kuja kudandia mirathi
Weupe hawana Shida mzee ASAS wa ASAS group of Companies alifariki lakini cheki kampuni inakwenda bila shida
Watoto wanaiendesha vizuri
Afe mswahili watagombania mirathi hadi sufuria na vijiko na nguo zake hadi za ndani
Naona una umri wa kutosha kiasi cha kukumbuka ajali hiyo ilitokea lini. Ni kitambo sana yapata miaka ishirini na ushee iliyopitaBado tunaikumbuka ajali ya basi lake la "No Challenge" lililotumbukia mtoni likijaribu kuvuka daraja lililofunikwa na maji wakati wa mvua na kuua abiria karibu wote waliokuwemo likitoka Dar kwenda Tanga mmiliki akaona abadilishe jina la no challenge na kuyaita Tashriff
Bado tunaikumbuka ajali ya basi lake la "No Challenge" lililotumbukia mtoni likijaribu kuvuka daraja lililofunikwa na maji wakati wa mvua na kuua abiria karibu wote waliokuwemo likitoka Dar kwenda Tanga mmiliki akaona abadilishe jina la no challenge na kuyaita Tashriff
Ngoja nilifanyie kazi hili maana I have been here since 1990Mkuu sio kwamba umechanganya!!!Nahisi ile ajali ilikuwa ni Ni NO Challenge akabadili jina Kuwa AirBuss. Tashriff alikuwepo kitambo
Averos strange, mbona habari hizi tanga hazipo?Taarifa zilizotufikia leo asubuh ni kuwa mmiliki wa Kampuni za usafirishaji abiria ya Tashrif Hamoud Said amefariki Dunia
Innalillah wainna ilayhi raajiuunView attachment 2585017
Huko ndio balaaWaswahili wa uswazi..
Lakini wenye vyao na maisha yao ,ambao kila mtu ana kipato chake hawategemeani ..huwa haKuna shida..
Tatizo Ni pale ukoo.mzima mwenye pesa Ni mmoja!
mabilionea ni wabantu, waarabu tayari wao wanarisishana sifa ya kuwaita bilionea haileti sound nzuri kama wa arusha, ukisema bilonea wa arusha ina sound vizuriIngekua Arusha wangesema bilionea kafariki... Wayu wa chuga bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliPole kwa wafiwa
Ngozi nyeupe hiyo huwa hawana shida kabisa akifa watoto wanaendesha biashara bila Shida
Angekufa mswahili saa hii hata maiti wangekuwa hawahangaiki nayo wanajadili mirathi na kutembezeana vipigo na kuficha mali kila.mtu akificha anachoweza
Hqpo bado ndugu waswahili nao utakuta mbio kuja kudandia mirathi
Weupe hawana Shida mzee ASAS wa ASAS group of Companies alifariki lakini cheki kampuni inakwenda bila shida
Watoto wanaiendesha vizuri
Afe mswahili watagombania mirathi hadi sufuria na vijiko na nguo zake hadi za ndani
Arusha neno Bilionea hupewa mtu yeyote anayehama hama grocery au baa na kila anakopita ananywesha watu kuanzia wahudumu.Kuna taasisi moja ilifanya utafiti kuhusu walevi wa Arusha na tabia zao za kuhama kama njia mojawapo isambazayo ukimwi Arushamabilionea ni wabantu, waarabu tayari wao wanarisishana sifa ya kuwaita bilionea haileti sound nzuri kama wa arusha, ukisema bilonea wa arusha ina sound vizuri
Anaye tegemewa kurithi hizo mali akamatwe na ahojiweTaarifa zilizotufikia leo asubuh ni kuwa mmiliki wa Kampuni za usafirishaji abiria ya Tashrif Hamoud Said amefariki Dunia
Innalillah wainna ilayhi raajiuunView attachment 2585017
Mkuu sio kwamba umechanganya!!!Nahisi ile ajali ilikuwa ni Ni NO Challenge akabadili jina Kuwa AirBuss. Tashriff alikuwepo kitambo
Habari ya hilo basi kubadili jina baada ya ajali toka No Challenge i na kuitwa Tashriff ilikuwa kubwa na magazeti mengi yaliweka front page . Bahati mbaya internet ndio kwanza ilikuwa bado haijainea TanzaniaMkuu sio kwamba umechanganya!!!Nahisi ile ajali ilikuwa ni Ni NO Challenge akabadili jina Kuwa AirBuss. Tashriff alikuwepo kitambo