GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Marehemu kaburini hakukaliki
Enemy in his mouth
 
Utapata kulingana na share yako uliyoitoa kuchangia chama hahah... Ni kama Kule US wanavyofanya, matajiri wanakuchangia kampeni halafu unawaanyooshea mipango baadae, tatizo la kwetu ni UFISI na UJAMBAZI wa kishamba ndo umejaa.
 
Hata wenyewe wale wa mrengo fulani wanaona uwepo wake ni uchuro ndani ya nyumba hlf katupia mbogamboga kabisa!

Kisutu bhana,matajiri hutaja magonjwa yao yote pale mara puto mara betri kwenye moyo!😁😁

BTW:CHADEMA waliwahi kusema wao pesa hawakatai hata angetoa shetani ni enzi zile za Sabodo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…