Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich awekewa vikwazo na Uingereza

Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich awekewa vikwazo na Uingereza

Kwa vikwazo hivi wanategemea mabilionea hawa watumike kumshauri Putin aache shambulia Ukraine ili mali zao zibaki salama? Au ni kumwonea perege kwa kosa la kambale?
 
Sasa siwanaiumiza timu ya nchi yao,uyo tajiri ndo keshakua tajiri wanachofanya ni kuumiza zaidi iyo timu.
 
Ni wakati sasa wa mashabiki fake wa Chelsea kurudi kwenye timu yao halisi ya Arsenal.

Karibuni sana nyumbani kumenoga.
Wewe punda hata leo hii chelseafc ikifutwa kwenye uso wa dunia kamwe Arsenal haiwezi kupata mafanikio Kama iliyopata Chelseafc.
 
Aje bongo tumpe timu ya wananchi,
Hakuna vikwazo wala vita wala vurugu,raha tu na mayele hyu dah
 
Wewe punda hata leo hii chelseafc ikifutwa kwenye uso wa dunia kamwe Arsenal haiwezi kupata mafanikio Kama iliyopata Chelseafc.
Ni pesa tu wewe, yani shabiki kabisa unaeujua mpira unatumia neno KAMWE??

Kwamba chelsea ndo klabu yenye mafanikio zaidi duniani mkuu??
 
Mgomvi wao Ni Putin na Serikali yake, Hawa raia wakawaida wanakosa gani?.

Ni sawa ukerwe na mzazi ukalipize kisasi kwa kumuadhibu mtoto wake.
 
Mtaji wa Timu za England ni kama ifuatavyo:-
Historia,
Mashabiki (hawa hawaami hata iweje)
Suala la Pesa na Mwekezaji linakuja baadae, Hivi unajua aliyoiuza Chelsea kwa Abramavich aliinunua kwa Pound Moja ?

Ilikuwa na Madeni na ilibidi anunue na madeni hayo na pia kuwekeza..., kwa sasa Brand ya Chelsea ilivyo hawatakosa kupata mwekezaji..., Ingawa Football as its Run kwa sasa its not sustainable timu nyingi zinaendeshwa kwa Hasara (Arsene Wenger ndio alikuwa anajua kuendesha timu kama Taasisi) na sio kutumia pesa ambazo hazipo au kutegemea a Godfather...

Itafika wakati mambo yatajiseti tu na timu nyingi zitakwenda under administration...
Mwekezaji atoke wapi wakati wameiwekea vikwazo hadi vya kutouzwa??!!
 
Mwekezaji atoke wapi wakati wameiwekea vikwazo hadi vya kutouzwa??!!
Wamefanya hivyo ili Roman hasiweze kupata faida ya hayo mauzo, kwahio mwisho wa siku huenda Chelsea ikawa bei nzuri au ku-pocket all the profits.., hili litakuwa solved sooner rather than later am sure watu wapo mezani na behind the scenes watu wanapitia bids tofauti tofauti

This is more Political..., na Kipindi kile FIFA ina meno enzi za Blatter huu ujinga ujinga wa kuingiza Siasa kwenye The Beautiful Game usingetokea....

Ila ndio hivyo tena....
 
Ok,nimekupata Mkuu.
 
Kwanza putin na abromovic they are close sanaaaaa hiyo imemcost..pia katika vikwazo vinalenga kufungia wafanyabiashara wote wakubwa wenye asili ya Russia,so abromovic Hapo hachomoki hata kidogo.....watu kuweni na uelewa mpana kuhusu vikwazo msiingize ushabiki.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Chelsea hawatoweza kuuza tena tickets za game zao, kuanzia hii ya Norwich, pia watatakiwa kuwalipa staff wote mishahara as usual. Bloody hell!!
 
Back
Top Bottom