Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.
Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatika Kila mahali.
Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina tofauti tofauti zikiwemo basi zikizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa Nchini.
Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746
Case Closed. Tuache kuzusha mambo.
View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933