Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.

Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatika Kila mahali.

Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina tofauti tofauti zikiwemo basi zikizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa Nchini.

Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746

Case Closed. Tuache kuzusha mambo.

View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Sawa Lameck Madelu tumekusoma
 
Umaskini utakuua

Mwigulu akimiliki wewe kinakuwasha nini?

Sifa ya mtu mwenye pepo la umaskini ni kushinda akiongelea matajiri negatively

Hapahitajiki nabii kukujua kuwa wewe lofa ambaye umepigika kimaisha choka mbaya wewe

Nenda kwa Mwamposya akalikemee hilo pepo lako la umaskini ukutoke

Nafikiri ni vizuri kujuwa mali na uwezo wa viongozi kwa sababu viongozi wanatakiwa kuweka wazi mali zao. Hili ni hitaji la katiba. Kujuwa hilo ni muhimu ili kuzuia viongozi kutumia mianya yao kujilimbikizia mali kwa njia zisizo halali. Umesema ikiwa ni mali ya Ndugai na Mwigulu kuna ubaya gani. Hakuna ubaya kama wahusika wataweza kuonyesha pesa wamepata wapi nje ya mishahara yao kuweza kuwa na mali za mabilioni. Mwigulu na Ndugao tunawajuwa na wametoka familia maskini, itakuwaje baada ya muda mfupi katika siasa wapate hizo mali?
Nafikiri ni haki ya kila mwananchi kuhoji kitu chochote anachokitilia mashaka, na kinachotakiwa siyo kumtukana anayehoji au kumwambia ana wivu bali kuja na maelezo jinsi Ndugai na Mwigulu walivyopata uwezo wa kumiliki mali au biashara kubwa kama hizo. Ikielezwa kila mtu ataona nayeamini ataamini asiyeamini hataamini, lakini kuwakingia kifua ni dalili ya kuonyesha huend kuna kaaukweli.
Naona kuna mtu amesema amekuja na proof ya umiliki wa hayp mabasi, lakini sijaona alicholeta ni concrete proof. Kuwa mkurugenzi mkuu wa kampuni siyo lazima kampuni iwe yako. Unaweza ukawa mwajiriwa. Unaweza ukawa hata share holder mwenye share kidogo. Kama kweli ungetaka kutupatia uthibitisho labda ungeleta official list ya owners jinsi ilivyoandikishwa RITA na kila mmoja ana share kiasi gani. Huyo kijana mpiganaji anaweza akapewa 1% shares huku 99% ni za Ndugai na Mwigulu.
 
Nani kakuuliza? Alie kutuma mwambie hata jina analo tumia sio lake. Na watu wanajua.
 
Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.

Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatika Kila mahali.

Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina tofauti tofauti zikiwemo basi zikizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa Nchini.

Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746

Case Closed. Tuache kuzusha mambo.

View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Acha upunguani, tokea lini uliona jina la mwanasiasa katika biashara? Acha kuwa pumbafu ww, all politicians wanawaweka watu wao wanaowaamini katika biashara zao na majina yao kamwe hutaona, kichwa maji ww umeelewa?
 
Dah[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom