uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Biashara ya bus ni roho nje kufilisika ni dkk sifuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara nyingi Tanzania wamiliki ni mabotion tu, minajua Kuna kampuni moja kubwa ya electric contractor mmiliki halisi ni mtoto WA Mwinyi Ila Yuko mmiliki botion a.k.a wa kuzugaHuyo jamaa ni pazia tu, silent partners ni Mwigulu Nchemba, Job Ndugai.
Mkuu hapo mwisho namna umemaliza ndo utata wenyewe unaozungumziwa.....Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.
P
Waweza kuwa mmiliki halali au waweza pia kuwa mmiliki kivuli. Yote yawezekana lakini hiyo siyo fact yakuweza kuweza kudhibitisha umiliki huo bado fact hiyo ina maswali mengi yahitajio majibu..Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.
P
Wazalendo wepi mfano?Ndio maana wazalendo tunataka Lisu achukue nchi, 😂Tutataifisha kila kitu
Watanzania wa sasa huwezi kuwadanganya kwa vijikaratasi, wanajua ukweli uliofichika. Tuchimbie pia utujulishe ni nani mmiliki wa Singida Big StarsBaada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.
Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatika Kila mahali.
Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina tofauti tofauti zikiwemo basi zikizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa Nchini.
Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746
Case Closed. Tuache kuzusha mambo.
View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Kwa hiyo tumfanyeje huyo Ngeleuya?Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.
Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatika Kila mahali.
Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina tofauti tofauti zikiwemo basi zikizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa Nchini.
Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746
Case Closed. Tuache kuzusha mambo.
View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Mh. William Lukuvi.Comfort yalikuwa ya Anderson Mwanyato ila.alifariki na Biashara zikafa
Hizo Upendo ni za akina Nyagawa na kuna Wanasiasa waliingiza mabasi yao
Lukuvi hausiki hapoMh. William Lukuvi.
Akijibu hili Leo nalala nje hapa Mafinga.Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.
P
🤣🤣🤣🤣 Unajua jiwe likirushwa gizani tu lazima waanze kutoka mmoja baada ya mwingine!!Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.
Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatika Kila mahali.
Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina tofauti tofauti zikiwemo basi zikizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa Nchini.
Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746
Case Closed. Tuache kuzusha mambo.
View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Hakuna mwenye tatizo na utajiri wa halali, Ukiona una utajiri ambao unaogopa kufahamika unao hasa baada ya kupata madaraka, hilo ni tatizo.Umaskini utakuua
Mwigulu akimiliki wewe kinakuwasha nini?
Sifa ya mtu mwenye pepo la umaskini ni kushinda akiongelea matajiri negatively
Hapahitajiki nabii kukujua kuwa wewe lofa ambaye umepigika kimaisha choka mbaya wewe
Nenda kwa Mwamposya akalikemee hilo pepo lako la umaskini likutoke
Utajiri ni siri ya mtu ingekuwa kitu cha wazi hata wewe ungekuwa tajiri usingekuwa lofa uliyejaa majungu kutafuta majungu kuwa wengine walipataje pesa
Utajiri usingekuwa siri Tanzania kusingekuwa na maskini hata mmoja
Hata wewe ukipata line ya pesa usimwambie yeyote
Lupelo ni Watson Kihaka siyo Watson Kuhama
Tuwekee hapo wamiliki wa Hekima na Widambe
Watu wana maneno,eti pepo la umasikini.Kwahiyo sisi tunavyohaha huku kitaa ina maana wote tuna mapepo....Umaskini utakuua
Mwigulu akimiliki wewe kinakuwasha nini?
Sifa ya mtu mwenye pepo la umaskini ni kushinda akiongelea matajiri negatively
Hapahitajiki nabii kukujua kuwa wewe lofa ambaye umepigika kimaisha choka mbaya wewe
Nenda kwa Mwamposya akalikemee hilo pepo lako la umaskini likutoke
Kaka hilo nieneo korofi, hizo taarifa huwezi kuzipata.Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.
P