Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.
Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatika Kila mahali.
Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina tofauti tofauti zikiwemo basi zikizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa Nchini.
Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746
Case Closed. Tuache kuzusha mambo.
View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Ni marehemu kwa Sasa alikuwa mzee Damian Divaz Kiwanga na ndio matajiri waanzilishi wa mji wa makambako.Na mmiliki wa Ilangamoto tafadhali.
Igesa line maana yake. Ilula General supplies. Mmiliki anaitwa. Paul Mtatifikolo..
Omba Mungu akujaze pesa kwenye msisha yakoPamoja na hayo kuna mkono wa mtu!hiyo jamaa namfahamu sana anaishi mabibo hadi kifo cha mwanae kufa mazingira ya kutatanisha,lakini bado kuna mtu ana mkono wake pale huo utajiri wa ghafla hivyo kaupataje anumuw magari yote hayo.
Hata abood niza mtu mwingine ila inasemekana mzee ruksa ana mkono pale
Wabongo noma sana, Huyu jamaa namfahamu kitambo sana.. Ameoa mtoto wa kimambo tajiri mmoja wa miaka mingi mpwapwa aliyekuwa na mabasi mengi.Akijibu hili Leo nalala nje hapa Mafinga.
Nakumbuka Comfort alipoanzisha ile hotel yake pale kabla ya Kitonga yule mama Msomali mwenye hotel ya Ilula akamwambia lazima ife na ikafa kweli..daahComfort yalikuwa ya Anderson Mwanyato ila.alifariki na Biashara zikafa
Hizo Upendo ni za akina Nyagawa na kuna Wanasiasa waliingiza mabasi yao
Sio lazima kuzipata zote au rasmi, unaweza tuu kufanya worthy estimates kwa kujua idadi ya mabasi x bei ya basi mpya, utapata cost of investment mfano Ester ina mabasi 10, kila basi ni TZS. 400m hivyo hayo mabasi 10 ni TZS 4.b. una search kwenye businesses zake, jee zimezalisha faida ya 4b?. Kama hazijazalisha, then una search kwenye credit bureau jamaa kachukua mkopo wapi wa kiasi gani, then unajiridhisha he is a bonafide owner. Ukikuta hakuna, then unajua kuna silent partners wamezamisha njuluku zao.Kaka hilo nieneo korofi, hizo taarifa huwezi kuzipata.
Sent from my SM-N985F using JamiiForums mobile app
Aisee ulisoma na Steve akiwa kati ya la kwanza hadi la nne maana alihamia UK akiwa mdogo na mpaka leo yupo huko...ulisoma naye Makambako au Dsm?Nimesoma na mtoto wake mmoja anaitwa Steven Kihaka
View attachment 2459940
ManagerKawekewa pesa mfukoni anunue kisha ausimamie huo mradi
Comfort marehemu. Jina lake Anderson Mwanyato..Nakumbuka Comfort alipoanzisha ile hotel yake pale kabla ya Kitonga yule mama Msomali mwenye hotel ya Ilula akamwambia lazima ife na ikafa kweli..daah
Unaongea kama jambazi moja hivi, anayenyang'anya na kutoa roho za watu, halafu anageuka na kuanza kutafuta heshima kwa hao hao anaowafanyia ujambazi.Umaskini utakuua
Mwigulu akimiliki wewe kinakuwasha nini?
Sifa ya mtu mwenye pepo la umaskini ni kushinda akiongelea matajiri negatively
Hapahitajiki nabii kukujua kuwa wewe lofa ambaye umepigika kimaisha choka mbaya wewe
Nenda kwa Mwamposya akalikemee hilo pepo lako la umaskini likutoke
Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.
P
Justification yako ya kizamani sana. Matajiri au wamiliki wengi wa hayo mabasi huwa hawapendi kuweka mali zao on their names. Wengi huweka directors au mmoja wa share holders kuwakilisha kampuni,na wakati mwingine hayo mabasi sio ya mtu mmoja inawezekana kuna team hapo wengi hununua mabasi au basi halafu hutafuta mabasi yenye majina na kuomba collaboration huku wakilipa percent fulani kwa kutumia hilo jina.Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.
Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.
Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.
Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746
Case Closed. Tuache kuzusha mambo.
Property By Joseph Didas Ngeleuya
View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Ni marehemu kwa Sasa alikuwa mzee Damian Divaz Kiwanga na ndio matajiri waanzilishi wa mji wa makambako.