King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Tumekuelewa Madelu ,asante sana kwa ufafanuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
source ya fund ni umachinga wa Joseph, huyu alikua mmachinga wa level ya juu.Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.
P
acha ujinga, hivi unajua watu kariakoo wanamiliki mali za mabilion mangapi?Shukrani kwa taarifa nzuri, ili kutuondoa Mawenge tuliyonayo tusaidie,
1. Historia ya Mmiliki wa hayo Mabasi .
2. Namna ambavyo alipata Mtaji wa Biashara.
3. Partners wake kwenye Biashara
4. Hapo nimeona taarifa ya Mwaka 2022. Hayo Mabasi yapo kabla ya 2022. Je kabla ya hapo nani alikuwa akimiliki hayo Mabasi?
NB:
Taarifa hizi muhimu zitatusaidia kujua kama Kampuni inahusika na Utakatishaji pesa ama la.
Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.
P
hivi hata angekua mwigulu ungemfanyeje au ungetafuta ndoa na yeyeKwa hiyo wa hizo picha, unverified docs na maandishi amemaliza utata? Ni aibu haya maneno kuandikwa na mtu mwenye profile yako.
hivi hata angekua mwigulu ungemfanyeje au ungetafuta ndoa na yeye
Tanzania tangu zamani tulikuwa na matajiri wa aina 5 wa mabasi, walianza Singa Singa wa Tanganyika Bus, wakaja Wakaja Wasomali wa Tahfif, Tawakal, Tahamed, Tashrif etc, Wakaja Waarabu wa Scandinavia, Aboud, Sumri, Shabiby Wakinga wa Widambe na ndipo wakaingia Wachagga wa Fresh ya Shamba na Air Msae, hivyo utajiri wa Wachagga kwenye biashara ya mabasi ni historical. Toka Fresh ya Shamba, Air Msae na Scandinavian kulikuwa na silent partners walioingiza magari yao, kampuni ikiyumba tuu kidogo, hawa silent partners wana pull out na immediately kampuni ina collapse, ndivyo ilivyokuwa Fresh ya Shamba, Air Msae na Scandinavian.source ya fund ni umachinga wa Joseph, huyu alikua mmachinga wa level ya juu.
Pascal nadhani unajua matajiri wq kichaga wanavyoanza maisha.
badi ni sawq na huyu wa Easther,
na syo yeye tu kuna dogo mwingine anamiliki mabasi ya Extra na mzee mmoja anamiliki mabasi ya tilisho wote asili yao ni rombo mashati.
wa
Hakuna sheria yoyote ya kuhitaji any verification ya kampuni fulani inamilikiwa na nani, verification ya chombo cha moto Tanzania ni jina lililoko kwenye kadi ya chombo, hivyo hata mimi nikinunua basi nikaandika jina lako, nitapewa control number ya kulipia usajili bila kuulizwa source of fund, na gari litasajiliwa.Kwa hiyo wa hizo picha, unverified docs na maandishi amemaliza utata? Ni aibu haya maneno kuandikwa na mtu mwenye profile yako.
Mkuu, akileta hicho ulichouliza nijulisheni.Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.
P
SawaBaada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.
Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.
Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.
Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746
Case Closed. Tuache kuzusha mambo.
Property By Joseph Didas Ngeleuya
View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Mayala, hii haizuii wengine kuwekeza huko kwa kuficha umiliki wao na hii hufanywa sana na wanasiasa wezi wanaojua mali hizo sio rahisi kuelezea walikopata!Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.
P
Hayapo ila yupo kafilisikaHuyu jamaa aliishia wapi? Hekima bado yapo hayo mabasi?
Looh bahati mbaya. Mabasi yake yalikuwa classic sana enzi zile za 2000'sHayapo ila yupo kafilisika
Sure nilikutana nae huko kwao songwe anagongea konyagi pesa ya ndagu naskiaLooh bahati mbaya. Mabasi yake yalikuwa classic sana enzi zile za 2000's
Kama ni mzima basi ni jambo la heri.Sure nilikutana nae huko kwao songwe anagongea konyagi pesa ya ndagu naskia
Pesa za kishirikinaKama ni mzima basi ni jambo la heri.
Ndagu ni kitu gani?
Mabasi ya kitambo sana pale Iringa mkuu.Upendo bado yapo
Yuko vizuri sana kwenye management