JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Kama amepata kwa haki kwa nini amiliki kwa kificho!?Umaskini utakuua
Mwigulu akimiliki wewe kinakuwasha nini?
Sifa ya mtu mwenye pepo la umaskini ni kushinda akiongelea matajiri negatively
Hapahitajiki nabii kukujua kuwa wewe lofa ambaye umepigika kimaisha choka mbaya wewe
Nenda kwa Mwamposya akalikemee hilo pepo lako la umaskini likutoke