Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

Hata kule Lindi kuna Mkulima anamiliki Hotel ya Kisasa
 
Wanasiasa na matajiri wa Kitanzania karibu wote ni wezi wa Mali za Umma,utajiri wao sio wa jasho bali ni ujanja janja wa Kuwa karibu na Serikali kukwepa kodi na kutumia rasilimali za Nchi.
1.Rostam tajiri Na 2 ,utajiri wake ni wizi mtupu wa Mali za umma na uthibitisho upo wazi.
2.Dewiji Family-ukwepaji wa kodi hasa kwenye sukari
3.Bakhresa ni Mali zilizoibwa na wanasiasa akina Mohammed Salim
The list goes on
 
Umelala usingizi mzito. Pole sana. Hivi unadhani hata kama yangekuwa ni ya mwanasiasa fulani basi ni mjinga kiasi cha kuandika jina lake? Yaani kweli mwanasiasa aandike jina lake kwenye biashara? Elimu yetu kweli ni mbovu kiasi cha mtu kushindwa kuona kitu kilichopo futi mbili mbele. Tafadhani sana usije kuleta upotoro mwingine kama huu siku nyingine.
 
Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.

P

Thubutu unadhani ataweza kuweka hizo details? Biashara kubwa kubwa kwa Afrika lazima mkono wa vigogo uwepo au unadhani waliosema fulani anamiliki hiki wao walizusha tu bila kutumia akili
 
Mbumbumbu mna ujasiri sana!
Unaamini kabisa biashara nyingi kubwa mjini ni za walioandikishwa kwenye makaratasi!!
 
Kwa kifupi uchunguzi wako bado haujakamilika, rudi tena chimbo mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…