TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

unalaana ya wazazi ko wewew
Kwa matendo anayoyafanya ni dhahiri kajichimbia na hayuko tayari kufa.
Chato eapoti amuachie nani?
Yale matraffic light amuachie nani?
Madege amuachie nani?
Libwawa la maumeme amuachie nani?
Li reli la sgr amuachie nani?

Magufuli hatakufa.
 
yaani mpaka leo unajua yupo chato kweli huna akili kabisaaa laana hiyo inakusumbua
 
Mkuu ni ''MCHAGA WA MARANGU'' na sio ''MCHAGGA WA MARANGU'' kuna tofauti kati ya mchaga na mchagga πŸ™
 
yaani mpaka leo unajua yupo chato kweli huna akili kabisaaa laana hiyo inakusumbua
Unajua kusoma.
Hujui kuelewa. Naam nasema hujui kuelewa.
Onyesha niliposema bado yupo chato!!
 
Kuna tumaini ng'ambo ya kaburi heri walalao katika tumaini la Bwana wetu Yesu Kristo maana atakaporudi mara ya pili atawafufua kwanza ktk miili isiyoharibika tena
Bwana awafariji familia ndugu jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wao, pole nyingi sana kwao.
 
Dah kampuni ndio ilikuwa imeanza kuteka soko la kaskazini aisee... RIP Marangu
Siku zote mmliki akiondoka anaondoka na upepo wote

Super Sami
ilikua hivyo hivyo,Marangu nayo ilishaanza

kuwa yamoto hata ofisi zao za Dar Ni moja ya OFISI kali

sana ukitoa ile ya DAR LUX na K.NJARO,R.I.P mr.Marangu.
 
Mkuu ni ''MCHAGA WA MARANGU'' na sio ''MCHAGGA WA MARANGU'' kuna tofauti kati ya mchaga na mchagga πŸ™
Asante mleu, si unajua sisi CHASAKA, haya mambo tujaifunza tu huku mitandaoni.
asante sana.
 
Siku zote mmliki akiondoka anaondoka na upepo wote

Super Sami ilikua hivyo hivyo,Marangu nayo ilishaanza

kuwa yamoto hata ofisi zao za Dar Ni moja ya OFISI kali

sana ukitoa ile ya DAR LUX na K.NJARO,R.I.P mr.Marangu.
Ndio maana siku kadhaa usafiri ulianza kulega lega kumbe jamaa alikuwa anajiuguza tu. Sijui itakuwaje lakini urithi ukishagawiwa.
 
Siku zote mmliki akiondoka anaondoka na upepo wote

Super Sami ilikua hivyo hivyo,Marangu nayo ilishaanza

kuwa yamoto hata ofisi zao za Dar Ni moja ya OFISI kali

sana ukitoa ile ya DAR LUX na K.NJARO,R.I.P mr.Marangu.
Mkuu Kuna basi moja la Marangu Coach lina mtoto mmoja mkali sana. Ananifanya Kila Nikija Tz nilitumie sana gari lao bila kujielewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…