TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

Bwana amezaa
Bwana ameua
Jina lake lihimidiwe

Inna Lilahi
Wa Innah Ilahi
Raaaj Un!
 
Mkuu, kuna ndugu yake katuma ujumbe huo kuwa mke wake amefariki leo majira ya saa nane mchana. Huyo aliyetuma ujumbe ni ndugu wa huyo mwanamke.
Hakika kuna watu hukutana na mitihani duniani!!!haielezeki Mungu awapokee.
 
Dah kampuni ndio ilikuwa imeanza kuteka soko la kaskazini aisee... RIP Marangu
Kuteka soko kaskazini?!unacheza wewe! KLM, Extra, BM, Tahmeed umewaweka wap? Mtu Ana gari 2 juzi Kati ndo kaongeza 2 nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…