TANZIA Mmiliki wa mabasi ya Sahara, Abdalah Msangi (47) afariki

Umri sahihi wa mtu kufa ni miaka mingapi?
Ukiwa na umri kama wa jenerali Msuguri na kisha Mnyaazi Mungu akakutwaa watu hawatakulilia sana kwa sababu Mungu kakupendelea sana kuishi ila kwa umri wa mmiliki wa sahara kibinadamu ni umri ambao bado una nguvu za kutosha na unahitaji sana kuendelea kutimiza ndoto zako....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika Hakika Mkuu

Back
Top Bottom