Nakanusha hii habar sio ya kweri jamaa hajafia Dar wala iyo guest inayosemwa
Marehem alitoka Usangi mapema tuu kuelekea Mosh katika majukum yake ila wakat anatoka hakuwa anajihisi vzr baada ya kufika mosh hari yake haikuwa nzur ikazid kuwa mbaya zaid ikabid watu wa karibu wampeleke Hospital Mawez Mosh
Wakat wanafika hospital Ma Dr wakasema jamaa alishakufa kabla ya kufika hapo hospital
Na kwa wanaomjua uyo jamaa ni Bonge la MTU yawezekana ni Presha au matatizo ya Moyo
NB nimekanusha kama mtu wa karibu na Family
Sent using
Jamii Forums mobile app