Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Kwa umri wangu siwezi kujua labda uning'ate sikio kidogo.Kwani mkuu kwa umri wako hujui kinachowatokeaga wafanyabiashara wengi wakiingia guest houses na wanawake?? Unamkumbuka tajiri wa Bukoba kilichomtokea??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Asee Natamani Kujuwa Chanzo Cha Umauti Wake
Nilikuwa Mteja Mkubwa wa Sahara Line
Sent using Jamii Forums mobile app
Ka umri wangu siwezi kujua labda uning'ate sikio kidogo.
Kwa umri wangu siwezi kujua labda uning'ate sikio kidogo.
Kuanzia 2015 mpaka leo 2020,watu wanakufa too young
Hasa wafanyabiashara na wanasiasa wenye mrengo tofauti na mawe na makonda
Nina miongo miwili na miaka miwili duniani.
[emoji2][emoji2][emoji2] Mkuu We Mbishi Kama mpinga Kristo
Nakubatiza Mpinga Comment Kila Kitu Unatoa Kasoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzia 2015 mpaka leo 2020,watu wanakufa too young
Hasa wafanyabiashara na wanasiasa wenye mrengo tofauti na mawe na makonda
Ukikuwa utaelewa ninachotaka kumaanisha!Unataka kumaanisha nini?
Ukiwa na umri kama wa jenerali Msuguri na kisha Mnyaazi Mungu akakutwaa watu hawatakulilia sana kwa sababu Mungu kakupendelea sana kuishi ila kwa umri wa mmiliki wa sahara kibinadamu ni umri ambao bado una nguvu za kutosha na unahitaji sana kuendelea kutimiza ndoto zako....Umri sahihi wa mtu kufa ni miaka mingapi?
Ina maana jamaa unamfahamu vizuri sana?Ukikuwa utaelewa ninachotaka kumaanisha!
Nina miongo miwili na miaka miwili duniani.
Ukiwa na umri kama wa jenerali Msuguri na kisha Mnyaazi Mungu akakutwaa watu hawatakulilia sana kwa sababu Mungu kakupendelea sana kuishi ila kwa umri wa mmiliki wa sahara kibinadamu ni umri ambao bado una nguvu za kutosha na unahitaji sana kuendelea kutimiza ndoto zako....
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za mtu mweusi hizi ndio maana hatuendeleiMungu ampunguzie adhabu?, Kwa sababu alikuwa na mabasi, acha kuingilia kazi za Mungu, kazi za Mungu hazina makosa
Nimfahamu ili iweje?Ina maana jamaa unamfahamu vizuri sana?