Mmiliki wa mabasi ya Sauli watakaokufilisi ni madereva wako

Hizo ajali sio za makusudi wala bahati mbaya...zina mkono usioonekana. Kuna kitu kinaitwa KUZINGATIA MASHARTI hasa kama mali zenyewe umezipata kupitia njia zetu zile.. Sauli anapotea muda si mrefu
Nyie ndio muna sababisha Elimu yetu kuwa ya kitumwa leo hiii unawaza mazingaumbwee kweli halafu mtu mwenyewe nani Mshana Jr du inatisha
 
Mabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama.

Ajabu kwa siku za hivi karibuni ndiyo mabasi yanayoongoza kwa ajali za ovyo ovyo zinazosababishwa na uzembe wa madereva.

Mliopo karibu na mmiliki wa mabasi ya Sauli mwambie asipowekeza kwa madereva makini hiyo biashara yake inaenda kufa kifo kibaya kabisa.

Fikiria ndani ya miezi mitatu alishapata hasara ya basi jipya kabisa ambalo liliisha na matatu yaliyopata ajali na kuharibika kabisa.

Hizo gari zina madereva vichaa....
 
Sauli "mnyama mkali" kudadadeki
 
Ajali za kawaida tuuu.. Ila awape madereva wa mwanzo..Aache kusikiliza majungu
 
Back
Top Bottom