Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kuna mahali kakosea au kachelewa..!Lazima atoe kafara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mahali kakosea au kachelewa..!Lazima atoe kafara
Asante Msitaafu kwa hitimisho zuri.Hizo ajali sio za makusudi wala bahati mbaya...zina mkono usioonekana. Kuna kitu kinaitwa KUZINGATIA MASHARTI hasa kama mali zenyewe umezipata kupitia njia zetu zile.. Sauli anapotea muda si mrefu
Kunywa fanta mkuuUnamiliki biashara ya ukubwa gani kiasi cha kuanza ku supply ushauri kwa mmiliki wa mabasi ya Sauli ?
Ajali zisababishwe na madereva wake, alafu wewe Uandike anafanyiwa figisu.Sauli hamumwezi hata mumfanyie figisu vipi
Kuna ushirikina mkubwa sana huko barabarani mdauMabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama.
Ajabu kwa siku za hivi karibuni ndiyo mabasi yanayoongoza kwa ajali za ovyo ovyo zinazosababishwa na uzembe wa madereva.
Mliopo karibu na mmiliki wa mabasi ya Sauli mwambie asipowekeza kwa madereva makini hiyo biashara yake inaenda kufa kifo kibaya kabisa.
Fikiria ndani ya miezi mitatu alishapata hasara ya basi jipya kabisa ambalo liliisha na matatu yaliyopata ajali na kuharibika kabisa.
Alishafariki mbonaSumry Hakufilisika alibadili biashara tu sasa hivi analima kilimo cha kisasa hekari 5000
Wanachojua ni kusema ukitaka tufanye kazi vizur nipe mkataba baada ya mda gari liwe languAsilimia kubwa ya madereva hawana uchungu na mali ya mtu na huu ndio uhalisia wenyewe.....sio malori, mabus wala magari madogo, wao ni kunyonga na kuuwa kabisa, tajiri utajuwa mwenyewe
Sumry analima mahindi siku hizi.Hivi Sumry bado yupo?
ItakuwaKuna mahali kakosea au kachelewa..!
Alishafariki piaSumry Hakufilisika alibadili biashara tu sasa hivi analima kilimo cha kisasa hekari 5000
hao akina summry walikua zaidi ya mmoja uyo mwenye mabasi bado yupo sana na ndie alie ingia kweny kilimo uko nkasi RukwaAlishafariki pia
Kaka yake ndie alifariki.Alishafariki mbona
Unamiliki biashara ya ukubwa gani kiasi cha kuanza ku supply ushauri kwa mmiliki wa mabasi ya Sauli ?
Ni kweli,aliyefariki Ni yule sumri contracter nadhani.hao akina summry walikua zaidi ya mmoja uyo mwenye mabasi bado yupo sana na ndie alie ingia kweny kilimo uko nkasi Rukwa
mnapo zungumzia mwendokas kwa sauli hua nawashangaa sana tena zama hizi za king'amuziSifa ya Mabasi ya SAUL ni mwendo kasi na kwa kadri ya kumbukumbu zangu hakuna basi la mikoani lililoendeshwa kwa mwendo kaai lilidumu
kwani ugomvi basi ! aendelee kubeba wanavyuo ili afike haraka tuone mwisho wakemnapo zungumzia mwendokas kwa sauli hua nawashangaa sana tena zama hizi za king'amuzi
hivi hao Newforce /golden deer hamuwaoni? ambao kwa kiasi kikubwa siku hizi ndo hua wana fika kabla ya basi zingine kutokea dar?
kwani ugomvi basi ! aendelee kubeba wanavyuo ili afike haraka tuone mwisho wake
Unafijiri kila ajali bima inalipa!?? Nyie ndio mnamdanganya huyu MTU!???BIMA italipaaa
Taarifa iliyopo ni ya aliyekuwa anamiliki mabasi ndiye aliyefarikihao akina summry walikua zaidi ya mmoja uyo mwenye mabasi bado yupo sana na ndie alie ingia kweny kilimo uko nkasi Rukwa