Mmiliki wa mabasi ya Sauli watakaokufilisi ni madereva wako

Mmiliki wa mabasi ya Sauli watakaokufilisi ni madereva wako

Kiswele na Zainabu ilikuwa hatari sana
Masia na Tawaqal ya Tunduma kule ndio kukimbia,unabaki unashangaa eti mtu anasema kuna basi zinakimbia siku hizi,mi naona ajali nyingi ni ongezeko kubwa la magari huku barabara zikiwa hazina ubora na hasa upana.
 
Nimekomenti bila kujua kama ni wewe Mshana ila bado sijutii nilichokomenti!Ushirikina ni imani japo kila muumini wake hayuko tayari kujitaja kama mshiriki,mi naona tuwe na evidence kuitetea hii imani lisiwe jiwe dhidi ya wapinzani wetu.
Uko sahihi lakini kwenye hili la Sauli hebu tuupe muda wakati kila kitu kitajulikana tuu.. Wakati ni hakimu mzuri
 
Waliokuwepo enzi izo wenye mabasi ambayo hayanakuwa na speed wako wapi au nao walipotea kama hao uliowataja?
Ndio,
Kupanda na kushuka kupo kwenye biashara. Speed inaweza kukupaisha juu sana, sababu sisi wasafiri wajinga tunapenda speed halafu baadae tunamsingizia shetani, tusio na akili tunampakazia Mungu, eti kazi ya Mungu haina makosa. Speed ni moja ya visababishi vya ajali, vipo vingi.

Kwenye hii biashara, yako makampuni yamedumu miongo miwili, na wengine muongo mmoja na wengine miaka miwili. Akishabatizwa jina baya, itakuwa kazi sana maana yataibuka makampuni mengine. Aangalie akina ABC, Shabiby, Abood, Dar Express, Upendo, Super Feo nk, bado wako kwenye game.
 
Wanachojua ni kusema ukitaka tufanye kazi vizur nipe mkataba baada ya mda gari liwe langu

Huo upumbafu hapana....Kamanda, nakushauri ukipata gari lako tafuta dereva anaejitambuwa.....au drive mwenyewe, madereva wengi wao wauwaji wanajuwa tajiri atatengeneza tu.
 
Mnyama sauli akiongoza ligi... chuma ya masaa mbele mbele yao we Bob dele tuondoke
20211119_092447.jpg
 
Hivi Sumry bado yupo?
Sumry yuko sumbawanga huko anamiliki mashamba makubwa ya ngano, mahindi,maharage na choroko. Hataki kusikia kumiliki mabasi tena.

Hata hivyo huyu Sauli ,hategemei kabisa hiyo biashara ya mabasi. Hapo kaegesha tu hela yake,kama sehemu tu kuajili vijana. Huyu mwamba anamiliki migodi ya dhahabu huko chunya. Ana jiwe
 
Nafikir huna habari kama sumry alishafariki na alizikwa dar
 
Nafikir huna habari kama sumry alishafariki na alizikwa dar
hao wakina sumry walikua zaidi ya mmoja alie fariki alikua ni mmoja wa wamiliki lakini zaidi yey alikua na kampuni za ujenzi kama sikosei alie kua msimamiz wa mabasi na ambae ana zungumziwa hapa yupo mzima tele anaendelea na shughuli zake za kilimo kwenye shamba lake Msimbazi Farm uko Nkasi Rukwa
 
Yeah huenda pengine maana habar zinachanganya kuwa ni mmoja wa wawamiliki wa mabasi ya sumry ambaye alikuwa anaitwa HUMUD SUMRY
 
How sure you are?

Anyway sijui chochote Ila umenitisha
Hizo ajali sio za makusudi wala bahati mbaya...zina mkono usioonekana. Kuna kitu kinaitwa KUZINGATIA MASHARTI hasa kama mali zenyewe umezipata kupitia njia zetu zile.. Sauli anapotea muda si mrefu
 
Wale wanaobeti wanaendelee kuweka ligi za mashindano za mabasi maana ndio wanaowapa vichwa madereva wa hayo mabasi
Sasa hapo mjinga , ni msimamizi wa sheria za barabarani.kwani hayo mabasi yanapita hewani?
 
Mkuu tajili hahusiki kabisa sema agents wake ndoshida ,alishazikabidhi kwasasa anapokea mauzo tu
 
Ye mwenyewe yupo rough tu juzi kati naye kapata ajali kisa kukimbizana na basi lake.
Aisee this comment didn't age well given the sad news of his demise.
Na sisis Wengine tuchukue ushauri haijalishi gari ni bora kiasi gani zile ni chuma tu na sisi tuna miili ya nyama isiyoweza kuhimili impact ya ajali.
 
Back
Top Bottom