Mmiliki wa mabasi ya Sauli watakaokufilisi ni madereva wako

Sifa ya Mabasi ya SAUL ni mwendo kasi na kwa kadri ya kumbukumbu zangu hakuna basi la mikoani lililoendeshwa kwa mwendo kaai lilidumu
Ushawahi kuiskia Asante Rabb au Kiasi kitamu ww?gari zao c Luxury ila hyo route Mwanza -Arusha ndo monitor wao
 
S kwamba znakimbia Sana na wala sizan madereva wa sauli wanaendesha vibaya ispokuwa hizo gari zimekuwa maarufu Sana kila kitu wanachofanya kina trends Sana gari nying tu znapata ajal ila znaishia Kimya Kimya akipata ajali sauli kila media itaandika Hiv kuna basi linakimbia Kama asante Rabi ya arusha mwanza
 
Afu pia kuna mbio na fujo vitu viwili tofauti sauli madereva wanafujo sana ni kweli kuna basi zinaKimbia lkn sio kwa fujo za kijinga
 
Wanaendesha kwa fujo sana na wanadharau sana wanaona kama hawatopata ajali.wanaovertake ovyoo
 
Waliokuwepo enzi izo wenye mabasi ambayo hayanakuwa na speed wako wapi au nao walipotea kama hao uliowataja?
Walikuwepo akina Zainabs, Scandnavia, Kiswele. Enzi hizo Greek akikalia usukani, acheni jamani. Ukweli uko pale pale, speed kali zinaua. Nukta kubwa.
 
Nanukuu interview ya mmiliki wa mabasi ya Sumry high class na Ayo tv "madereva wengi wa mabasi Tanzania ni waharibifu sana na hawako makini barabarani" R.I.P
 
Unaleta stori za bodaboda kwenye bus mtu akupe gari la milion 500
Hizo sio stori za bodaboda tu kiongozi
Kuna jamaa ana bus nissan minivan
Kwasababu imechoka kapata dereva anataka mkataba ukiisha bus iwe yake 😂😂😂😂
 
S kwamba znakimbia Sana na wala sizan madereva wa sauli wanaendesha vibaya ispokuwa hizo gari zimekuwa maarufu Sana kila kitu wanachofanya kina trends Sana gari nying tu znapata ajal ila znaishia Kimya Kimya akipata ajali sauli kila media itaandika Hiv kuna basi linakimbia Kama asante Rabi ya arusha mwanza

Asante rabi hakuna kitu kutoka mwanza znaliwa sana na bus za dar
 
Hizo ajali sio za makusudi wala bahati mbaya...zina mkono usioonekana. Kuna kitu kinaitwa KUZINGATIA MASHARTI hasa kama mali zenyewe umezipata kupitia njia zetu zile.. Sauli anapotea muda si mrefu
Anazingatia masharti halafu tena anapotea,mbona mnaamini ushirikina kwa lengo kinzani?kwa hiyo ngozi nyeupe tu ndio wako legally?waafrika tunajua kujitukana!
 
Kama hujaelewa ni vema ukaomba kueleweshwa
 
Nimekomenti bila kujua kama ni wewe Mshana ila bado sijutii nilichokomenti!Ushirikina ni imani japo kila muumini wake hayuko tayari kujitaja kama mshiriki,mi naona tuwe na evidence kuitetea hii imani lisiwe jiwe dhidi ya wapinzani wetu.
 
Back
Top Bottom