Mmiliki wa mabasi ya Sauli watakaokufilisi ni madereva wako

Kilichoanza kuwapa umaarufu ni sped hata bosi anajua kuna siku alihojiwa.na itv akasema mabas yake hayakimbii ila nivile niyakisasa
Na hiko ndicho kitakachoua biashara yake, mwendokasi. Watu watazikimbia kuepuka vifo na ulemavu. Atabaki na wapiga debe na miluzi.
 
ila huyo mwamba ni tycoon kishenzi,
hiyo biashara ya mabasi ni sehemu ndogo sana ya utajiri wa huyo mheshimiwa
Utajiti wa nyanda za juu kusini unajulikana!!! MPE miaka mitano huyo mwamba wenu!!! Kuku alimeza mahindi matano!!!
 
Kweli tuulizane mapema, mfano mimi na degree zangu nane, wewe darasa la sita B huko Naliendele utanishauri nini kwa mfano. Nenda kale makande huko ulale.
Ushamba utawamaliza watz!!!/kumiliki Mali hakuzuii kupokea ushauri wa wateja jamani!??/mmesomea wapi!?
Hivi unadhani kuna MTU mwenye akilia atapanda gari likimbialo bila sababu apoteze maisha au apate ulemavu!??
 
Bongo ukiwa na pesa tafsiri rahisi ni kuwa una akili wewe, mjanja wewe, unajua kila kitu. Kumshauri mwenye hela wakati unanuka njaa, unaweza kula makofi mchana kweupe.
 
Hizo ajali sio za makusudi wala bahati mbaya...zina mkono usioonekana. Kuna kitu kinaitwa KUZINGATIA MASHARTI hasa kama mali zenyewe umezipata kupitia njia zetu zile.. Sauli anapotea muda si mrefu
Malizia tu.... njia gani ndugu Mshana Jr? 😊😊😊
 
Bongo ukiwa na pesa tafsiri rahisi ni kuwa una akili wewe, mjanja wewe, unajua kila kitu. Kumshauri mwenye hela wakati unanuka njaa, unaweza kula makofi mchana kweupe.
Hata kwenye familia zetu mambo haya yapo. Mwanafamilia mwenye fedha ndiye anasikilizwa hata kama ni bongolala, maadamu tu ana pesa. Wewe kapuku hata ukiwa na mawazo mazuri utapuuzwa.
 
Mabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama.

Ajabu kwa siku za hivi karibuni ndiyo mabasi yanayoongoza kwa ajali za ovyo ovyo zinazosababishwa na uzembe wa madereva.

Mliopo karibu na mmiliki wa mabasi ya Sauli mwambie asipowekeza kwa madereva makini hiyo biashara yake inaenda kufa kifo kibaya kabisa.

Fikiria ndani ya miezi mitatu alishapata hasara ya basi jipya kabisa ambalo liliisha na matatu yaliyopata ajali na kuharibika kabisa.
Usijali nitawasiliana na mwanae BSA
 
Hata kwenye familia zetu mambo haya yapo. Mwanafamilia mwenye fedha ndiye anasikilizwa hata kama ni bongolala, maadamu tu ana pesa. Wewe kapuku hata ukiwa na mawazo mazuri utapuuzwa.
Biblia inasema "" Hekima ya maskini haisikilizwi"" period.
 
Sifa ya Mabasi ya SAUL ni mwendo kasi na kwa kadri ya kumbukumbu zangu hakuna basi la mikoani lililoendeshwa kwa mwendo kaai lilidumu
kulikuwa na basi linaitwa Masia Tours, hukohuko Mbeya/Tunduma, sifa yake ni Mwendo wa kasi sana, dereva wake alikuwa anakula elfu kumikumi wakati huo kila anapofika stendi kuu mbeya. Halikudumu.
 
Mabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama.

Ajabu kwa siku za hivi karibuni ndiyo mabasi yanayoongoza kwa ajali za ovyo ovyo zinazosababishwa na uzembe wa madereva.

Mliopo karibu na mmiliki wa mabasi ya Sauli mwambie asipowekeza kwa madereva makini hiyo biashara yake inaenda kufa kifo kibaya kabisa.

Fikiria ndani ya miezi mitatu alishapata hasara ya basi jipya kabisa ambalo liliisha na matatu yaliyopata ajali na kuharibika kabisa.
Kama ni jina tayali analo angejikita kwenye
Ubora wa huduma ingemsaidia sana
 
Bongo ukiwa na pesa tafsiri rahisi ni kuwa una akili wewe, mjanja wewe, unajua kila kitu. Kumshauri mwenye hela wakati unanuka njaa, unaweza kula makofi mchana kweupe.
Kwahiyo suggestion box "masanduku ya maoni yaliyopo kwenye makampuni makubwa ni upuuzi!?? Wewe ni mshamba mark my words my friend hata elimu huna!!! Na kwa kutegemea utajiri wa kuua ndugu nyanda za juu mtasubiri saaaana!!!
 
Back
Top Bottom